Washabiki msipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa - Shilole

Washabiki msipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa - Shilole

Huyu Shilole aliwahi kusema ana mipango ya kuimba na JLO!
Mii nasubiri hiyo kazi itoke!
 
Mh!mahaba nipeleke Serengeti nikaliwe na chui hayo
 
mpuuzi sana yule mtoto anajiona kawini kweli
sijui vitoto vingine vikoje hela hana halafu anataka masuperstaa shilole miaka 29 sijui ye ana kumi na nane huko

Kwani jamaa hana kazi?
 
hata kwa kuwaangalia tu anaonekana hadi hela ya boxa anatoa shilole, ushawahi sikia pedeshee kachapwa kofi na mwanamke??? Ha ha ha heshima pesa nini urijali mbona hata jogoo ni rijali

Kama kitu haiendi pesa majani tuu
 
Back
Top Bottom