unataka Shilole apigwe wewe.
Teh Teh Mziwanda ni Baba mwenye nyumba.
Huyu Shilole aliwahi kusema ana mipango ya kuimba na JLO!
Mii nasubiri hiyo kazi itoke!
Hahaaa huyu si alisema alivokuwa ujerumani alizunguka madukani na kununua cameraman! Akimaanisha camera
Kila Post Ya Upashkuna Una Changia. Tulia Mama
Mwl Jana Nuhu alisema yeye ndio mwenye sauti
labda sauti ya kuimbia kwaya...
Hahahahahaha jf rocks nimecheka sana ..daaa
mpuuzi sana yule mtoto anajiona kawini kweli
sijui vitoto vingine vikoje hela hana halafu anataka masuperstaa shilole miaka 29 sijui ye ana kumi na nane huko
Kwani jamaa hana kazi?
hata kwa kuwaangalia tu anaonekana hadi hela ya boxa anatoa shilole, ushawahi sikia pedeshee kachapwa kofi na mwanamke??? Ha ha ha heshima pesa nini urijali mbona hata jogoo ni rijali