Washabiki wa mpira nchini ni vilaza, Arajiga amewahi kufungiwa mara tatu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Sijui ni ukilaza ujinga au??
2022 alifungiwa
2020 alifungiwa
2019 alifungiwa

Tena kuna mechi kati ya Yanga na Azam aliwabeba Yanga akafungiwa

Acheni ujinga
 
Lakini mnyonge tumnyonge lakini haki yake tumpe,wanasema "makosa ni sehemu ya kujifunza".

Kwa Arajiga ametumia makosa yake kujijenga kua wa tofauti kabisa .

Amejifunza na ni ukweli usiopingika kwamba ndiye mwamuzi bora kabisa Tanzania.
 
Arajiga ana makosa,ila ni ya kawaida tu kama binadamu.

Anajitahidi mno kulinganisha na marefa wengine wa hapa.

Tukumbushane kwamba urefarii ni pasua kichwa hata kwa wenzetu duniani huko pamoja na kua na msaada wa VAR bado wanavurunda.
Sure..
 
Well said
 
Arajiga huwezi kumfananisha na refa yeyote kwenye ligi kwa sasa, kwanza akichezesha unaona hata kwenye fouls wachezaji hawalalamiki maamuzi hake kama wanavyochezesha marefa wengine, kwa sasa anachezesha vizuri labda kama ataharibiwa na marefa wa pembeni.
 
Back
Top Bottom