Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi

Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini?

Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
 
Vyura at work 😂
 
Jiepushe nao hao usifanye nao urafiki wengi wao lazima uwakute na chumvi ya mawe mifukoni
 
Back
Top Bottom