Washamba wamemsajili Aziz K kwa Tsh Milioni 400/ wanatamba, ila Wastaarabu wamemsajili Okra kwa Tsh Milioni 460 wala hawatambi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili.

Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K na BM wenu mara 100 Kiuwezo ( Kiuchezaji ) kwa kwenda na Tsh Milioni 400/ Kamili haraka sana Tajiri Kijana Afrika ambaye 75% ya Maisha yake ni Ulaya na siyo kama Wenu aishie Posta na Kariakoo Kutwa akatuma haraka mno Dola 200,000 za Kimarekani ( Tsh Milioni 460/ ) za Tanzania na upesi Dogo Okra akasinya ( akasaini ) Chuo Kikuu cha Mpira ( Soka ) Tanzania Simba Sports Club.

Vyuma vingine Vitatu ( Mmoja ni Beki Tegemeo wa Kocha Rigobert Song na Cameroon yake ) wa Kiwango cha CAF na FIFA vinashuka muda wowote kuanzia sasa Kudadadeki zenu. Tanzania itasimama na ndipo mtajua kuwa Simba SC siyo Level yenu Kiusajili, Kiutendaji na Kiumakini.
 
Kwa wachezaji ilio sajili Simba, msimu ujao wasahau Ubingwa labda tuone usajili wa 2023/2024.
Kwa 2022/2023 Yanga Bingwa mapema sana.
 
Hakuna bongo mchezaji wa million 400 au 300, kawadanganye kijiweni kwenu
 
Mambo ya Simba na Yanga.
 
Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili.

Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K na BM wenu mara 100 Kiuwezo...
Kiwango babuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…