Nimekumiss Mdada..Hahahha kitawakuta kitu ngoja wakubishie
Nimekumiss pia dear wapi selfie au nikiingia makapuku najisahau kabisa kuja kwingineNimekumiss Mdada..
Kule kwenye uzi wetu sikuoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata ingekua we we ndo kalinyo ungeweza kushindia magimbi na kachumbari kila sikuu
Nilikua namuona calinhos pale mchikichini anagombea mihogo na watoto wa tuotionHata ingekua we we ndo kalinyo ungeweza kushindia magimbi na kachumbari kila sikuu
Walishindwaje kumtupia kaiza kimoja 1 tu pale FNB......ikawa 4-1Bocco goli 13.
Kagere goli 11.
Mugalu goli 10.
Bado ligi haijaisha, tarehe 3 July utopolo msilete timu uwanjani singizieni mmewapima wachezaji wenu wote wamekutwa na Corona.
Mkisingizia pesa mlizopoteza maandalizi ya ile mechi ambayo haikuchezwa mtupe hesabu, tutawachangia yote na chenchi mtabaki nayo mkabadilishe "diet" kidogo kambini, sio mihogo msimu mzima hadi Kalinyo kawakimbia.
.YANGA WAKO RIGHT...HAKUNA KUINGIZA TIMU JULY 3....! AIBU HII TULISHAIKWEPA
Selfie Mpenzi.Nimekumiss pia dear wapi selfie au nikiingia makapuku najisahau kabisa kuja kwingine
Nitakuja dearSelfie Mpenzi.
Sawa DearNitakuja dear
Kaizer we utacheza nao Lini?Walishindwaje kumtupia kaiza kimoja 1 tu pale FNB......ikawa 4-1