Washambuliaji wa Simba ni balaa

Washambuliaji wa Simba ni balaa

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Bocco goli 13.

Kagere goli 11.

Mugalu goli 10.

Bado ligi haijaisha, tarehe 3 July utopolo msilete timu uwanjani singizieni mmewapima wachezaji wenu wote wamekutwa na Corona.

Mkisingizia pesa mlizopoteza kwa maandalizi ya ile mechi ambayo haikuchezwa mtupe hesabu, tutawachangia yote na chenchi mtabaki nayo mkabadilishe "diet" kidogo kambini, sio mihogo msimu mzima hadi Kalinyo kawakimbia.
 
Bocco goli 13.

Kagere goli 11.

Mugalu goli 10.

Bado ligi haijaisha, tarehe 3 July utopolo msilete timu uwanjani singizieni mmewapima wachezaji wenu wote wamekutwa na Corona.

Mkisingizia pesa mlizopoteza maandalizi ya ile mechi ambayo haikuchezwa mtupe hesabu, tutawachangia yote na chenchi mtabaki nayo mkabadilishe "diet" kidogo kambini, sio mihogo msimu mzima hadi Kalinyo kawakimbia.
Walishindwaje kumtupia kaiza kimoja 1 tu pale FNB......ikawa 4-1
 
YANGA WAKO RIGHT...HAKUNA KUINGIZA TIMU JULY 3....! AIBU HII TULISHAIKWEPA
.
IMG-20210603-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom