Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Hata hivyo kajitahidi sana waliomsikiliza wameelewa 'it is a very constructive idea' though our leaders are not in favour of collective leadership
 

What are you talking or rather writing about? After all he is better than you! Your last sentence written in English is grammatically wrong and I hereby append it “Something very very wrong with his education”[emoji38]
 

Msicho kujuwa ni kwamba wanasayansi/engineers ambao kingereza sio native language yao mara nyingi wana mangle baadhi ya maneno/sentensi za kiingereza wala hiyo si issue ya kuivalia njuga, mbona alicho maanisha kinaeleka vizuri tu - kwani tatizo liko wapi?

Nani kasema ukizungumza a very refined English ndio utaonekana ni MTU msomi sana na mbunifu? Taifa letu don't need neo-Shakespeare ,Chinua Achebe or Ngugi WaThiongo.
 
Ndio maana anashauriwa atumie kiswahili ili aepuke kuliaibisha Taifa kama jana mkuu
 
What are you talking or rather writing about? After he is better than you! Your last sentence written in English is grammatically wrong and I hereby append it “Something very very wrong with his education”[emoji38]

There you are-well said, actually it reminds me the pot calling the kettle black!!

Sijui watu wengine wakoje always wana pick pick vitu vidogo vidogo na kuvikuza beyond proportion.
 
Mnaojifanya kukijua kiingereza huwa MNA maisha magumu sana. Mpo mpo tu mlishawaza Ulaya mpaka sasa mnauza juice za miwa mpo tu. Much know harafu hamna kitu. Raisi wa China hata kuhesabu kiingereza tu hajui yaani ile moja mpaka kumi, sasa mnachomshangaa mzee baba ni nini?

Ye anajua cha chato ndicho alicho zaliwa nacho mpeni pozi kidogo. Wewe unayekosoa baba ako mwenyewe ajasoma kabisa, mama ndio kabisa.
 
Mimi huwa natamani aongee angalao hicho kiswahili chake ingawa nacho sio rasmi kabisa huwa anabofya huko katikati. Bado namkumbuka Bwn Saa8.
 
Sio kweli kwamba utajiri wa nchi au pesa za nchi zinasambazwa kila mahali. Zimetumika kujenga int. airport ya chàto, kununua ndege etc. Vilvile nadhan umeshasikia mh. rais akisema hapeleki maendeleo mahali ambapo muwakilishi wa wananchi ni wa chama tofauti na ccm. Na sio rais tu hata viongozi wengine wa ccm na serikali nao wanasems hivo.

Ofisi ya CAG nayo imezuiws kukagua baadhi ya miradi. Ktk mawasiliano (lugha) dunia imegawanyika ktk maeneo au kanda zenye kutumia lugha tofauti za mawasiliano kimataifa. kiingereza, kifaransa, kichina, kiarabu, kiurusi na labda kihispania. Sisi we fall under kiingereza (anglophone).

Kiswahili haitambuliki kama lugha ya kimataifa. Tukitaka kukuza kiswahili iwe lugha ya kimataifa nadhani kuna njia za kitaalam za kutumia, na sio kumtumia rais. Anayo majukumu yake mengine mengi ya kutekeleza. Sasa rais kukosa strong command ya kiingereza (kama ni kweli), kwa nchi iliyo ukanda wa anglophone ni shida. Ni aibu. Hatuwezi kujitetea oh mbona kina Putin, Merkel, Japanese pm etc hawajui english. Wao anatumia lugha nyingine zinazotamulikana kimataifa.

Huwezi kwenda UN uhutubie kwa kiswahili, hakitambuliki huko. Rais wa JMT (our top diplomat) anatakiwa awe mtu anayeweza kutiririka kiingereza. Kama kuna udhaifu tuukubali kinyenyekevu na tuushughulikie ipasavyo.
 
Hauko sahihi. Kwa mambo yake binafsi anao huo uhuru wa kukoroga apendavyo. Lakini anapokua kwenye shughuli ya kitaifa anategemewa awe sahihi kwa kila hali. Urais sio mali binafsi ni dhamana ambayo wananchi wamemkabidhi. Wananchi wakiona mapungufu ktk utendaji au haiba wana haki ya kuhoji kwa vile ndio waajiri waliompa kazi.
 
What are you talking or rather writing about? After all he is better than you! Your last sentence written in English is grammatically wrong and I hereby append it “Something very very wrong with his education”[emoji38]
I cannot reach you......
 
Katika nchi ya watu wazima ni aibu mtu kuleta hoja ya namna hii, baada ya yeye kuzungumza hicho mnacho shadadia hawezi je? Kuna madaraja yaliporomoka? Uchumi umeshuka?? Stop nonsense [emoji1630], Kama hajavunja sheria ya nchi si tatizo muache apige kazi wewe unayejua saana kuzungumza hicho kiingereza ungegombea Kama ndo kigezo, uwe Rais wa nchi na ulete wazungu kuwafundisha watanzania hiyo lugha.
 
Mabeberu wangapi wanapiga broken za kiswahili au lugha nyingine lakini watu wanachukulia poa tu.

Kumbuka usomi haupimwi kwa kujua lugha ya kiingereza
Sasa kama ulisoma kuanzia form one mpaka phd kwa kutumia kiingereza halafu hujui kiingereza wewe nawe ni msomi? Kiri udhaifu- kumbuka ile kauli maarufu: 'msema kweli ni mpenzi wa Mungu'
 
Utetezi wa aina hi i ni wa ovyo kiawango cha juu sana. Address tatizo.
 
Ndugu yangu macho_mdiliko hata wewe hujaandika lugha sahihi hapo juu. Hakuna binadamu mkamilifu. Ila ujumbe umeshafika kwa walengwa na washauri wa mjomba Pombe.
Kwa kuwa wamejificha nyuma ya key board basi wanabwabwaja tu. Hivi hao wote wanaoshabikia wao wanaongea english fasaha? Hivi ikiwekwa hoja kwa kiingereza humu wanaweza kuchangia ? Basi tuanzishe mjadala humu kwa kiingereza halafu wote hao warudie kuchangia tuone hata kama hiyo written english wanaweza achilia mbali kuzungumza ambacho nona hakika ni balaa.
 
Sasa si aongee Kiswahili?

Si ajabu Kiswahili nacho hajui huyu zuzu lenu!
 
Mkuu Mkuu kila lugha ina kanuni zake ambazo ukitaka kuongea lazima uzifuate.
Kwanini asitumie kiswahili ambacho angekuwa huru zaidi kukiongea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…