Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni phd Tatizo siyo polepole wala nini Tatizo ni mmiliki wa phd kutojua kingereza maana yake ni nini? aliyemuuzia vyeti alisahau kumfundisha kingereza?
Mkuu hiyo people's power na siyo people s power.Huwa anamsikia tundu lissu anasema 'pipoz' Umma unaitikia 'pawa' hapo hata hajui kama amekosea,
Matokeo yapi Mbona wewe ndiyo mjinga na unaandika ujinga hata kutetea phd asiyejua kingereza ni ujinga zaidi pengine wewe ndiyo mjinga kuliko wote huko CCM Nchi inapaa wapi? Watumishi wa umma miaka mitano pasipo nyongeza za mishahara hakuna maendeleo yeyoteMtaishia kuandika ujinga jamii forum wakati nchi inazidi kupaa. Watu wanazidi kufanya kazi yenye matokeo yenye kuonekana.
Nyie watz hamna shukrani, mnasahau kwamba bila Magufuli taifa stars wasingeweza kucheza Afcon msimu uliopita, muwe na shukrani basiRais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish.
Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu wakalimani wapo.
Nukuu:
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mtafutie mwalimu wa kingereza toka Uganda au kenya muombee viza aishi pale chamwini au hata Ras simba ahamie ikulu ashinde nae ampe kozi ya kingereza kwa bidii ndani ya miezi mitatu ataongea kama Obama au akina Waziri mkuu wa Uingereza au aongee kama mseveni kingereza fasaha chenye lafudhi ya kinyankole kigandaHaya bwana mkubwa, nimekubali tunazungumzia kuhusu lugha , kuhusu PhD, mimi hainihusu kabisa na siwezi kusema chochote. Na siwezi shiriki kwa kuchangia chochote.
Hizo zilikuwa za makonda hata ndizi ikizaa kule kijijini alimshukuru magufuliNyie watz hamna shukrani, mnasahau kwamba bila Magufuli taifa stars wasingeweza kucheza Afcon msimu uliopita, muwe na shukrani basi
Hajasoma Advance,huo ni utaratibu wa kuwawezesha kuweza kumudu masomo wanayoenda kufundisha. Najua unajaribu kumtetea,hao madogo aliowaita vilaza Udom walikuwa wanapitia mchakato kama wake.Sasa unasemaje hakusoma Advanced level!
Mimi nashukuru magufuli kwa kumrudisha Lissu salama kutoka uhamishoniHizo zilikuwa za makonda hata ndizi ikizaa kule kijijini alimshukuru magufuli
Ilikua yy ni mwalimu wa kiswahiliNi Tanzania tu maajabu kama haya hupatikana. Sasa piga mahesabu darasani alikuwa anafundishaje!
kwani kingereza kisaidia kujenga zahanati, au barabara ya lami japo nusu kilomita?Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi Ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha Rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Badili kwanza jina lako kwani ni kielelezo cha ujinga wa maoni yako.Mtafutie mwalimu wa kingereza toka Uganda au kenya muombee viza aishi pale chamwini au hata Ras simba ahamie ikulu ashinde nae ampe kozi ya kingereza kwa bidii ndani ya miezi mitatu ataongea kama Obama au akina Waziri mkuu wa Uingereza au aongee kama mseveni kingereza fasaha chenye lafudhi ya kinyankole kiganda
Matokeo yapi Mbona wewe ndiyo mjinga na unaandika ujinga hata kutetea phd asiyejua kingereza ni ujinga zaidi pengine wewe ndiyo mjinga kuliko wote huko CCM Nchi inapaa wapi? Watumishi wa umma miaka mitano pasipo nyongeza za mishahara hakuna maendeleo yeyote
Tatizo we ni pisi mbovu na unayemtetea ni mshamba,in kindovu's voiceMmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Yule jamaa Ni jeuri,hafundishiki. Nasikia wasaidizi wake wakimuomba Ras Simba awasaidie kumfundisha,akagoma.Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi Ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha Rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Huko uliko watu wanashadadia lugha za wengine?Mkuuuu Unaumia eeeh. Hata ukiteteaje watanzania tumeaibika. Jamaa hajui English licha ya PhD yake. Tutaficha sura zetu wapiiii? Tumekwisha kwa aibu.
Magonjwa Mtambuka
Ras Simba anahitajika hapaNi aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi Ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha Rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Kuwanyima nyongeza ya mshahara watumishi wa umma ipo kwenye ilani ya ccm?Mada ya kipumbavu, hatukumpigia kura aje atufundishe kingereza, tulimpigia kura aitekeleze ilani ya uchaguzi.
Tarehe 28 October atashinda tena kwa kutimiza kazi ya kutekeleza ilani aliyopewa.
Mwenye akili za kipuuzi za kitoto ndio atajikita kwenye masuala ya kingereza chake.
Polepole mzee wa fursa za kupiga pesa ccm atampeleka chamwinoRas Simba anahitajika hapa