Sasa hapo unaathirika na nini hasa? Kama kweli ww ni mzalendo basi ungejikita zaidi ktk kuguswa na kile Rais wako anafanya kwa nchi na sio wapi kaongea broken english. Ni kama vile mlio wengi mmesomeshwa na wazazi wasiojua kiingereza kabisa au kutokujua sana lakn hao wazazi si walitimiza wajibu wenu wa kuwalea,kuwatunza na kuwasomesha. Hasa hapo kutokujua kiingereza kwa mzazi wako kuliathiri vipi kukutunza au kukulea ww? Hamna tofauti na wale wakenya ambao hata mtanzania ashinde tuzo kimataifa watakimbilia kucheka na kubeza kwamba wa tz hatujui kiingereza badala ya ku focus kwenye achievement.
Mm kama mtanzania nina focus tu na utendaji wake wa kazi tu maana ndio unaonigusa kama mwananchi wa kawaida hayo mengine hayanisaidii mm.