Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Utendaji kazi wa kuminya demokrasia unaupenda? Kupiga Dili kwenye miradi mikubwa nao unaupenda
 
Utendaji kazi wa kuminya demokrasia unaupenda? Kupiga Dili kwenye miradi mikubwa nao unaupenda
Usikimbilie kuonyesha chuki zako soma vzr comment kisha ndio ujue cha kusema kabla ya kuropoka
 
Duuh.. em tupia clip
 
Sasa umechangia nini hapa?
Duh basi nimegundua una tatizo kubwa Sana la kutokuwa na muendelezo wa mawazo kwenye mada husika unaranda randa tu.
 
Ahaa sasa nimejua kwanini hapendi kusafiri nje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani watu mna ulimbukeni wa hali ya juu sana - JPM tumemtuma kutuongoza kwa lugha yetu (utamaduni wetu) - sasa kiingereza kwani anaongoza UK?

Tulitawaliwa, tukajikomboa sasa ni muda wa kujitawala - mbn akisalimia kwa kijaluo, kiha, kihaya, kigogo nk hamseni!!!
 
huu upuuzi wa kujivunia kujua lugha za wakoloni
Magufuli ndio bingwa wa kujivunia lugha za wakoloni.

Kila siku anajing'ang'aniza kuongea viingereza vya hovyo hovyo badala ajikite kwenye Kiswahili ambacho pia hakimudu vizuri.

Ati we are sapozi to change dairekshenii in our environmentS!!

Huyo labda aongee kisukuma tu!

Asijilazimishe kutema mayai viza atatutapisha!
 
Nakumbuka wakati tunasoma form two tulikuwa tunazungumza Kiingereza safi kuliko cha huyu Kanjanja anayejiita jiwe.

Anafeli wapi huyu Kanjanja mwenye pihechidiii uchwara!
 
Huyu huyu anapewa miaka mitano tena, kama mnampenda sana anayejua kingereza nendeni Uingereza wapo wengi tu.
 
Hajasoma Advance,huo ni utaratibu wa kuwawezesha kuweza kumudu masomo wanayoenda kufundisha. Najua unajaribu kumtetea,hao madogo aliowaita vilaza Udom walikuwa wanapitia mchakato kama wake.
Labda hatuelewani. Mimi nasema alisoma A level Mkwawa, akafanya mtihani na kupata ACSE baada ya kufaulu, akaendelea na kozi ya ualimu mwaka mmoja.

Hiyo Advance unayosema hakusoma ni kozi fulani, somo fulani au ni kitu gani hasa! Hueleweki.
 
Huyu huyu anapewa miaka mitano tena
Swala hapa sio mitano tena.

Swala hapa ni mayai yake viza.

Analiaibisha taifa na viingereza vyake vya chooni.

Aache kujifanya anaongea Kiingereza wakati hawezi.

Kujitutumua kwiiingiiii.... oooh we are sapozi, we are directions.

Azungumze Kiswahili ambacho pia hakiwezi.

Labda azungumze lugha za makabila huyu pihechidii wako uchwara.

We are sapoziiii! Kitukooo!!!
 
Pole sana maana wewe ni mmoja wa wanaoishi kwa chuki zenye kuwaumiza mioyoni.

Huyu huyu ni mpaka 2025 kama ukitaka kingereza kizuri ingia youtube utakutana na hotuba za Nyerere na Nkrumah zipo nyingi tu.

Tumchagua atimize ilani sio atufundishe kingereza, tunakifahamu vizuri.

Uwezo wake wa kuitumikia Tanzania ndio wa muhimu kwetu hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…