Washauriwa wasifanye ngono Mlima Kilimanjaro

Ss wengine wanapenda dangerous places saa itakuwaje 🤣🤣
 
Babu ngono tamu huwa inafanywa mahali hatarishi , hata ukiiba mke wa mtu mkajibana kichakani huwa anakua mtamu mno.
Umesema sahihi Mkuu, I once had it in my car Mwaka 47 🤗

Ukifanya mchezo unaweza kujikuta unang'oa gia wakati gari ipo kwenye Parking 😜
 
Akili ya binadamu ingekuwa inaonekana kama filamu,naamini tungekuwa tunacheka hadi tunazimia barabarani kwa kuona anayowaza mtu.
Hatari sana Mkuu 😅

Niliwahi kusoma ule Uzi wa maeneo ya hatari mtu amewahi kushiriki ngono, yaani watu Wana balaa 🙌
 
hivi si kuna makambi ya kulala? mimi nimepanda na mke wangu kule, na kabaridi ka barafu kale, kwahiyo tulale kama kaka na dada? hivi hamna oxygen suppliment labda ya kutembea nayo kuokoa hilo manake kiukweli hata mimi ningepanda kule na mke wangu ningependa kuweka historia ya kufurahia icho kitu juu ya mlima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…