Ushiled
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 656
- 1,153
Ss wengine wanapenda dangerous places saa itakuwaje 🤣🤣Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile demand ya kawaida ya mwili tu hujaifikia kwahiyo ukiongeza demand kwenye saizi hizo inakuwa ni shida balaa kubwa linaweza likaja kwako kwako mwanaume kuliko mwanamke. Wagonjwa wengi tunaowapata wengi ni wanaume kuliko wanawake" Hussein Abradha - Mkurugenzi Kili med air