Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Ukiwa mchambuzi au mtafakari unaanza kupata kupata picha tokea kupata uhuru kuwa sisi ushenzi ulianza ndani tokea uhuru.
Wale washenzi mfano wa mobutu seseko hapa kwetu wapo ndani ya chama tawala hawa kuwa kwenye uraisi ila wapo ndani ya chama tawala tokea historia.
Uzimishaji wa mfumo kuhusu ukweli ni wale wale wengine wanawapa vijiti vizazi vyao.
Mfano mfumo wa Uganda kesi aliyopewa mpinzani ndio kesi iliyopo Tanzania
Ni kama wana kwaya.
Pili ukiangalia nchi ambazo chama cha CCM kilipeleka kukomboa mbona kina fanana na tabia mfano leo DRC isingejiunga na GOMA nazani M23 wasingeweza kuwa na nguvu sababu ni kwamba CCM inafikiri sera zao za brain wash ndio zilizo afrika kumdanganya DRC watumie kuendesha Congo.