Washikilie wanaokujali

Washikilie wanaokujali

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
2,044
Reaction score
4,558
Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao,

Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu,

Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za kijamii.

Kuna watu utakutana nao, ili wakuvushe kutoka sehem moja kwenda nyingine. Hao ni kama daraja la wewe kupanda katika safari yako.

Kuna watu, watakuja kukupa funzo. Funzo ambalo laweza kuwa zuri ama baya. Ila ulitakiwa kukutana nao ili uweze kujifunza kitu fulani ambacho ni muhimu kwa mambo utakayo kumbana nayo mbeleni.

Ila kuna aina hii ya watu, ambao wapo nawe katika nyanja zote. Hawahitaji uwafanyie chochote, wala kitu chochote toka kwako, wapo nawe na wanakujali bila matarajio ya aina yoyote. Mara nyingi watu huwachukulia poa hawa watu, na kuona kama wanatupenda kupita kiasi, yaweza kuwa ila, kumbuka duniani watu wa aina hii ni nadra sana kuwapata. Wakuu hiki kitu nimechelewa sana kujifunza na sasa najutia napenda isijirudie tena.

Sema ukweli dunia ya leo, hakuna raha na watu wanastress, garama za maisha zimepanda, makazini watu kusnichiana! Majirani kusemana vibaya, ndugu wa familia moja kurogana, ajira nazo ngumu, wasichana wameharibika, yaani hakuna eneo unaweza sema lipo vizuri. Hii imepelekea hasira na taharuki kwa watu na jamii kwa ujumla. Saiz kila mtu kajifungia ndani hataki stress na majungu coz watu wamevurugwa. Hakuna uaminifu miingoni mwa watu. Sisi ni viumbe social yaani tunategemeana sasa ukitaka kuish maisha marefu lazima uwe na watu sahihi. Watu sahihi ndo hao tunaowachukulia poa.

#Washikilie wanaokujali.
 
Nikianza Kuandika Experience Juu Ya Watu Ambao I Gave Them My All And Treated Them Like My Blood Family Lakini Mwishowe Ni Upumba.vu, Fitna, Majungu, Uhasidi, Lawama, Backstabbing Yani Inaumiza sana Nitajaza Hapa Essay Ndefu Na Nitawachosha.

In a nutshell my people nawasihi sana wapende na kuwashikilia sana wanaokupenda na kukujali genuinely regardless mtu anaweza kupa nn. Watu wengi sana tunawashika na kuwabeba ipa hawana utu na kumbukumbu. Inaumiza Mnoo Mnoo.

Kikubwa Nimesamehe Na Kumuachia Mungu kwa kufanya hivyo nimeona hasira ya Mungu kwa watu walioniumiza sanaa. Najua ni ngumu ila samehe kisha mkabidhi Mungu, wewe kaa pembeni na Observe. Utanishkuru Baadae.
 
Baba yangu mdogo popote ulipo, nipo nawe bega kwa bega. Kaka yangu wa pekee popote ulipo, bado nipo nawe bega kwa bega. Natambua mchango na mshikamano wenu mkubwa mlionipa wakati napitia kipindi kigumu, wakati ambao ndugu wengine hawakuwepo wala kutaka kusikia na baadhi walijifanya ku-support tu kwa maneno.

Hakika maisha yangu ni maisha yenu!
 
Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao,

Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu,

Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za kijamii.

Kuna watu utakutana nao, ili wakuvushe kutoka sehem moja kwenda nyingine. Hao ni kama daraja la wewe kupanda katika safari yako.

Kuna watu, watakuja kukupa funzo. Funzo ambalo laweza kuwa zuri ama baya. Ila ulitakiwa kukutana nao ili uweze kujifunza kitu fulani ambacho ni muhimu kwa mambo utakayo kumbana nayo mbeleni.

Ila kuna aina hii ya watu, ambao wapo nawe katika nyanja zote. Hawahitaji uwafanyie chochote, wala kitu chochote toka kwako, wapo nawe na wanakujali bila matarajio ya aina yoyote. Mara nyingi watu huwachukulia poa hawa watu, na kuona kama wanatupenda kupita kiasi, yaweza kuwa ila, kumbuka duniani watu wa aina hii ni nadra sana kuwapata. Wakuu hiki kitu nimechelewa sana kujifunza na sasa najutia napenda isijirudie tena.

Sema ukweli dunia ya leo, hakuna raha na watu wanastress, garama za maisha zimepanda, makazini watu kusnichiana! Majirani kusemana vibaya, ndugu wa familia moja kurogana, ajira nazo ngumu, wasichana wameharibika, yaani hakuna eneo unaweza sema lipo vizuri. Hii imepelekea hasira na taharuki kwa watu na jamii kwa ujumla. Saiz kila mtu kajifungia ndani hataki stress na majungu coz watu wamevurugwa. Hakuna uaminifu miingoni mwa watu. Sisi ni viumbe social yaani tunategemeana sasa ukitaka kuish maisha marefu lazima uwe na watu sahihi. Watu sahihi ndo hao tunaowachukulia poa.

#Washikilie wanaokujali.
Kweli mkuu.
 
Nikianza Kuandika Experience Juu Ya Watu Ambao I Gave Them My All And Treated Them Like My Blood Family Lakini Mwishowe Ni Upumba.vu, Fitna, Majungu, Uhasidi, Lawama, Backstabbing Yani Inaumiza sana Nitajaza Hapa Essay Ndefu Na Nitawachosha.

In a nutshell my people nawasihi sana wapende na kuwashikilia sana wanaokupenda na kukujali genuinely regardless mtu anaweza kupa nn. Watu wengi sana tunawashika na kuwabeba ipa hawana utu na kumbukumbu. Inaumiza Mnoo Mnoo.

Kikubwa Nimesamehe Na Kumuachia Mungu kwa kufanya hivyo nimeona hasira ya Mungu kwa watu walioniumiza sanaa. Najua ni ngumu ila samehe kisha mkabidhi Mungu, wewe kaa pembeni na Observe. Utanishkuru Baadae.
Hakika mkuu, some people treat others like trash! Na wana tendency ya ku fumble watu waliowatoa kimaisha. It sucks ila ndo dunia ilivyo.
 
Back
Top Bottom