Hivi mkuu umeishiaga wapiiii..... daah umepotea sana ndugu yanguyote hayo tisa
kumi shindano likianzishwa tena,
unashangaa wale wanaoambiwa hawajaingia kumi bora
wanavyo react kama wanakwenda jela
au wale wanaoambiwa wamepita wanavyoshangilia utasema ndo mwisho wa matatizo yao
kumbe hata ukishinda bado hakuna lolote.....
unataka kusema, master J hajui muziki....Yale mashindano yenyewe yapo chini sana...wale majaji sio wataalamu wa muziki isipokuwa ni washabiki wa muziki...tutegemee hali hii miaka yote.