Washindi BBS mbona doro?

Washindi BBS mbona doro?

mataka

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
286
Reaction score
61
Mi nimfuatiliaji mkubwa wa bss, tokea ilivyaanzishwa tatizo ninaloliona washindi wa bss sio makini hawatoi vitu vipya kuanzia j4 mpaka huyu mariam, kunani? Mbona kimya au fani zenu kuiga nyimbo za wenzenu tu? Mbona nyinyi hamuwiki kama pop idols wa marekani au tusker project fame? Tatizo liko wapi? Au shida yenu mtoke kupitia zawadi na si kutoka kimuziki? Tatizo lipo kwa washiriki wenyewe au waandaaji? Manake wakitoa kawimbo kamoja tu kimya. KULIKONI? Tusaidiane katika hili
 
yote hayo tisa

kumi shindano likianzishwa tena,
unashangaa wale wanaoambiwa hawajaingia kumi bora
wanavyo react kama wanakwenda jela
au wale wanaoambiwa wamepita wanavyoshangilia utasema ndo mwisho wa matatizo yao

kumbe hata ukishinda bado hakuna lolote.....
 
wanatafuta maisha wakishinda wanaendelea kufanya mambo mengine sio kuimba, maana wanaowiki naona hawapiti BSS.
 
....Yale mashindano yenyewe yapo chini sana...wale majaji sio wataalamu wa muziki isipokuwa ni washabiki wa muziki...tutegemee hali hii miaka yote.
 
Mbona wanasikika ila hawavumi kivile Yupo Walter chilambo, Peter Msechu, Kala Jeremiah, Na kayumba, na Mshindi wa Sasa Sarafina Michel namwona anapost Picha insta Geto Na Tv yake kubwa aliyozawadiwa ma Star times pia namwona kwenye matanagazo ya Bumplay pia Mshindi Wa pili Asagwile Mwasongwe ametoa wimbo wa gospel Mbaya sana
Na Mshindi wa Tatu Julius Macha sifa zitamponza kwanaza mimi simpendi tu hata simfuatilii tena! Over
 
yote hayo tisa

kumi shindano likianzishwa tena,
unashangaa wale wanaoambiwa hawajaingia kumi bora
wanavyo react kama wanakwenda jela
au wale wanaoambiwa wamepita wanavyoshangilia utasema ndo mwisho wa matatizo yao

kumbe hata ukishinda bado hakuna lolote.....
Hivi mkuu umeishiaga wapiiii..... daah umepotea sana ndugu yangu
 
Ni kawaida hata tusker project fame wanaotoka sio wote ni wa kuhesabu Sana.
 
....Yale mashindano yenyewe yapo chini sana...wale majaji sio wataalamu wa muziki isipokuwa ni washabiki wa muziki...tutegemee hali hii miaka yote.
unataka kusema, master J hajui muziki
 
Back
Top Bottom