Mi nimfuatiliaji mkubwa wa bss, tokea ilivyaanzishwa tatizo ninaloliona washindi wa bss sio makini hawatoi vitu vipya kuanzia j4 mpaka huyu mariam, kunani? Mbona kimya au fani zenu kuiga nyimbo za wenzenu tu? Mbona nyinyi hamuwiki kama pop idols wa marekani au tusker project fame? Tatizo liko wapi? Au shida yenu mtoke kupitia zawadi na si kutoka kimuziki? Tatizo lipo kwa washiriki wenyewe au waandaaji? Manake wakitoa kawimbo kamoja tu kimya. KULIKONI? Tusaidiane katika hili