WASHINDI TUNZO MIAKA 10 YA JF

WASHINDI TUNZO MIAKA 10 YA JF

Haya matusi ya rejareja hayafai.
Sheikh mzima unaniita mkorofi?

Ngoja nikutane na wewe mbele ya safari nikuonyeshe Upole wangu.
Samaki wa blue.
 
Haua matusi ya rejareja hayafai.
Sheikh mzima unaniita mkorofi?

Ngoja nikutane na wewe mbele ya safari nikuonyeshe Upole wangu.
Samaki wa blue.
Mi ni Jecha tu...sjakuchagua mimi
Pole mkuu ....
 
Teh na vile umejipa mamlaka ya jecha wanaohoji sijui wanataka nini
 
hapo kwenye ma witchcraft
kwel ushind wa kshindo
kwa mshana jr
mjamaa mjenz huru nn??
 
Teh Teh mshana Jr huyu jamaa anautani na wewe!
 
Nimefurahi ktk list kumuona SWAHIBA Th Name....
Mshana Jr ni mwana Mabibo mwenzangu hawez fanya roho mbaya bhana
Pongezi za dhati zimfikie mshana jr kwa kuendelea kutikisa katika viunga vya JF na kuweka heshima upande wa ndumba na majini bila kusahau picha za kuvutia
 
Mi ni Jecha tu...sjakuchagua mimi
Pole mkuu ....
Hizi kura zilifanyika kwenye KANISA LA UFUFUO? manake naona Wagalatia na makafiri wengi wana sifa nzuri nzuri na Waislamu Tumebandikwa vyeo vya Kihuni.

Yaani hata hizi Kura za uongo mnapendelea?
Teh teh teh teh.
Dah.

Makatonta kiboko aisee.

Halafu huyo unaemuita Mkongwe bora una habari ni shoga? Nikute pembeni nikupe picha ya Nyani kapakatwa na Power mulumundu
 
Back
Top Bottom