Washindi wa tuzo za MTV EMA 2021 hawa hapa. Diamond atoka mikono mitupu

Washindi wa tuzo za MTV EMA 2021 hawa hapa. Diamond atoka mikono mitupu

Ni haki yake kushinda tanzania Bado hakuna msanii aliyeweka record yakuingiza nyimbo chart kubwa ya bilboard
 
Ed Sheeran,BTS , Taylor na Olivia wote wamestajili..

Ngoja tusubiri AMAs tarehe 22
 
Huyu lil nas anamashabiki wengi sana mzee huko kwao ndo maana unaona mavideo yake yanafikisha mpk views 800M na audio zinafikisha mpk streams Billion
Nimejifanya kwenda kuangalia video zake YT aisee huyu dogo ni laana sumaka
 
Mwakilishi wetu nae kawa kama taifa stars siku hizi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mondi alipofoa jiwe gizani, kwa bahati nzuri likampata mhusika... Mhusika kaona isiwe taabu, akatapika bonge la riwaya (zaidi ya essay)
😂😂😂 Mmakonde lile jiwe lime muuma sana aisee,alafu anatumia nguvu nyingi kutuaminisha kua na Diamond alitumbuiza kwenye bar kama yeye
 
Back
Top Bottom