Washindi wa tuzo za MTV EMA 2021 hawa hapa. Diamond atoka mikono mitupu

Washindi wa tuzo za MTV EMA 2021 hawa hapa. Diamond atoka mikono mitupu

Wivu upi......?Mziki una upepo, sasa hivi hata Burna na Davido hawafanyi vizuri na sio kwamba wamedrop.
Hawa wa_Naija wanapokezana tu hizi tuzo. Wakzti Burna anachukua zile BET ungeweza kudhani kuwa Wizkid ame_drop ila baadae anaku_proove wrong. Ila pia naona uhalisia unawabeba sana.
 
Hawa wa_Naija wanapokezana tu hizi tuzo. Ila pia naona uhalisia unawabeba sana.
Naija wanatuzidi vitu vyingi hata robo hatuja wafikia ,wana washika dau kibao kwenye level za kimataifa na ndio maana wana push sana kazi zao hili alishawahi kuliongea Vanessa.

Halafu nahisi hata fitina wana zijua zamani ulikuwa ukitizama Trace au MTV playlist walikuwa wana dominate wa South, ila hivi sasa baada ya kuingia kwenye hivyo vyombo 40% ya playlist ni nyimbo zao ,wengine mtafikiriwa.

Wanabebana sana haijalishi upo kwenye label gani na hata mabeef yao media zao hazi chagui upande, still kila msanii atapata airtime.
 
Huwa siwaelewi wanaomshambulia au kumcheka kijana Diamond kwa kukosa tuzo.

Juma nature na wenzake kina Nigga Jay na kina afande na Blue walipigana na hatua ya mziki kukubalika kwenye jamii ya TZ. SALUTI KWAO.

Diamond na wengine wanaojitahidi wamekuta hatua ya mziki kukubalika ndani imepigwa vizuri na malegend sasa wanapigania hatua za kuhakikisha mziki unatoka nje ya East Africa na tunaitwa kwenye tuzo za kimataifa.

Hata wakishindwa kupata tuzo, kuitwa kwenye mchujo ni hatua ya kuheshimika sana, Watakuja wengine watakuta kuitwa kwenye kinyang'anyiro si habari mpya kama Diamond alivyokuta bongo flavour kukubalika ndani ya nchi si jambo la kushangaza. Wao wataipigania Tuzo ije kwenye ardhi yetu.

Vijana wanapambana. SALUTI KWAO.
SALUTI KWA KING KIBA KWA KUUPIGANIA MZIKI TANGU ENZI ZA KALE.
 
Lil Nax,
Nick Minaj,
Taylor Swift ,

Nimefurahi sana tena mno, hasa kwa Lil Nax, tena leo nna furaha mnoo hakika amestahili kipenzi changu, weuweeeeeeh
 
Binadamu hatujawahi kuelewa, kuwa mchezo wa Kura Haujawi kuwa Fair. Chochote kinacho husisha kupiga kura hakijawahi kuwa FAIR.

Process ya Kwanza , wao wanakaa wanawaletea list. Vigezo gani wamefuata hadi kuwaweka kwenye list hatujui, ni nani aliwapendekeza wapi kwa njia Gani Sisi Hatujui.

Then booooom tunaletewa tuwapigie kura [emoji28][emoji28][emoji28] halafu unataka FAIR kwenye kura zinazopigwa. Haiwezi tokea. Unless tuanzie mwanzo kupendekeza nani aingie nani asiingie.

Sasa mtu kama Lil Nax na Video yake eti anashinda Tuzo?
Amestahili acha roho mbaya, na ameshinda tayari, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu lil nas anamashabiki wengi sana mzee huko kwao ndo maana unaona mavideo yake yanafikisha mpk views 800M na audio zinafikisha mpk streams Billion
Bora hata umuambie, anadhan kura za lil nax zimepigwa na watu wa mkuranga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie khaaah.

Wameshindwa kuwapa kura watu wao domokaya na vanny boy ili wachukue tuzo, wanahaha na Montero baby, damn maajabu haya uwiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lil Nax,
Nick Minaj,
Taylor Swift ,

Nimefurahi sana tena mno, hasa kwa Lil Nax, tena leo nna furaha mnoo hakika amestahili kipenzi changu, weuweeeeeeh
mmmhhhhhhh kwa mahaba hayo kwa lil nas itabidi nifatilie mwenendo wako kwa ukaribu πŸ˜€
 
Diamond a.k.a Chaijaba hawez chukua tuzo yyte kwa mziki gani??

ile KAMATA KAMATA KAMATIA KAMATA!!!!

u gotta be joking dude!!!
This nigga kaishiwaaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimejifanya kwenda kuangalia video zake YT aisee huyu dogo ni laana sumaka
Ameshashinda tayar, uzuri hawaimbii nyie watu wa mabwepande, [emoji23][emoji23][emoji23], yuko buzzy na watu wa kwake na wanapenda kuona hivyo, ila nyie ndo mna haha nae bureeh, kwan yeye hana hata habari kuwa mnateseka juu yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ameshashinda tayar, uzuri hawaimbii nyie watu wa mabwepande, [emoji23][emoji23][emoji23], yuko buzzy na watu wa kwake na wanapenda kuona hivyo, ila nyie ndo mna haha nae bureeh, kwan yeye hana hata habari kuwa mnateseka juu yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale wale laana sumaka
 
Watanzania tupunguze uchawi Mimi hapo Diamond namwonea mshindi. Kuna Nchi ngapi za Africa hapo hazipo!. Mnaudhi bwana Diamond anatubeba Sana acheni hizo.
 
Back
Top Bottom