Washington: Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa $ 2.2B kwa Ukraine yakiwemo makombora ya Masafa marefu

Washington: Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa $ 2.2B kwa Ukraine yakiwemo makombora ya Masafa marefu

unajua US na baadhi ya nchi za magharibi wameidanganya Ukraine kwa ahadi kibao za kiulinzi dhidi ya Russia

lengo ni kutumia ardhi ya Ukraine kutest nguvu za Urusi..
Huwa nikisoma comments kama hizi huwa nastaajabu akilini mwa watz kuna nini, nadhani kuna tatizo kubwa kuliko ccm.
 
oky hiyo misaada italefusha Vita kidogo ,hapo ni kufanya Vita isiishe mapema .aise ngoja tuone nn kinaenda kutokea ,pengine tukashuhudia makubwa zaidi .nchi pekee duniani yenye uwezo wa kumvimbia USA ni Russia,je Russia atadumu kwenye historia Kama taifa lenye nguvu za kum challenge marekani!!? majibu tutayapata ndani ya miaka 2 au 3 ijyayo ,yaani yadi 2025,tukatakuwa tumeshafunga chapter ya huu ubishani.
 
Sio kumchalengi russia anampiga marekani kama mtoto
 
Hizi packages ni za kumtia hasara na umaskini Putin , akija kushtuka hata mishahara ya kulipa wanajeshi hana
 
Hivi, binadamu kagundua gari, ndege, roketi za kwenda nje ya mfumo wa dunia, AI na mazagazaga yake lakini ameshindwa mfumo wa maisha usiohusisha vita. How? Huenda kuna binadamu wachache sana wanaojua siri ya ulimwengu.
 
Kuna vitu nimevisoma leo. Nikagundua hawa USA ni hatari sana. Ila kwa kinachoendelea Ukraine ni msaada wa kawaida, mdogo tu kwa kumswaga Putin. Mfano, 1. Rocket za himars zipo za uwezo wa kupiga km nyingi hadi ndani ya Russia, lakini wamempa Ukraine himars zenye uwezo mdogo tu kumswaga mr Putin na hizo zenye uwezo mdogo zimemsumbua sana Russia. 2. Ndege za f16. Hizi ndege zinauwezo wa kupiga shabaha yake kwa umbali wa zaidi ya km 4,000. Wameona hamna haja ya kumpa Zele.. asije akashambulia ndani ya urusi. Nk nk. Halafu utamskia pro Russia anaropoka "Nato imepigwa na kikundi cha ulinzi cha urusi huko Ukraine". hata huu msaada sasa ni wa silaha hupiga kama km 150.
 
Hivi, binadamu kagundua gari, ndege, roketi za kwenda nje ya mfumo wa dunia, AI na mazagazaga yake lakini ameshindwa mfumo wa maisha usiohusisha vita. How? Huenda kuna binadamu wachache sana wanaojua siri ya ulimwengu.
Bukyanagandi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Si mlisema Ukraine haitakuwepo itafutwa na Urusi?! Sasa mnalialia nini? Na hiyo biashara italipwaje kama Ukraine haitakuwepo?
Mbona maneno mengi babu we si Mtanzania wewe.
 
Utakasirika mpaka upasuke, Dikteta Putin ataendelea kuchezeshwa sebene tu na taifa dogo kwa muda mrefu sana. Opereshini imegeuka imegeuka ndoano mdomoni kwa Urusi, hawezi kuitema.
Hivi hii misaada inayotangazwa na huu umoja wa kinamama wa Nato mbona hatuoni ukibadili chochote kwenye uwanja wa vita?

Sanasana tunaona dubu akiendelea kujilia kitoweo chake tu
 
Back
Top Bottom