Washington: Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa $ 2.2B kwa Ukraine yakiwemo makombora ya Masafa marefu

Washington: Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa $ 2.2B kwa Ukraine yakiwemo makombora ya Masafa marefu

umbali wa 150km.
Acha kupotosha..Haya ndo masafa Marefu??????.. 150km hh ha

Ukraine waliomba 300km missiles, kwa nini wasimpe jamani.. Sasa 150km si yanaishia mikese au bwawani tu

Himars range yake ni ngapi?.. Mbona vichekesho hivi.
 
Back
Top Bottom