Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Feb 1, 2023 #41 Ameshindwa kumpiga Ukraine kama mtoto kilwakivinje said: Sio kumchalengi russia anampiga marekani kama mtoto Click to expand...
Ameshindwa kumpiga Ukraine kama mtoto kilwakivinje said: Sio kumchalengi russia anampiga marekani kama mtoto Click to expand...
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Feb 1, 2023 #42 S V Surovikin said: Hivi hii misaada inayotangazwa na huu umoja wa kinamama wa Nato mbona hatuoni ukibadili chochote kwenye uwanja wa vita? Sanasana tunaona dubu akiendelea kujilia kitoweo chake tu Click to expand... Anachoshwa kwanza, akilegea wanampanda mazima[emoji123]
S V Surovikin said: Hivi hii misaada inayotangazwa na huu umoja wa kinamama wa Nato mbona hatuoni ukibadili chochote kwenye uwanja wa vita? Sanasana tunaona dubu akiendelea kujilia kitoweo chake tu Click to expand... Anachoshwa kwanza, akilegea wanampanda mazima[emoji123]
Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4,016 Reaction score 6,759 Feb 2, 2023 #43 MTZ 255Dar said: umbali wa 150km. Click to expand... Acha kupotosha..Haya ndo masafa Marefu??????.. 150km hh ha Ukraine waliomba 300km missiles, kwa nini wasimpe jamani.. Sasa 150km si yanaishia mikese au bwawani tu Himars range yake ni ngapi?.. Mbona vichekesho hivi.
MTZ 255Dar said: umbali wa 150km. Click to expand... Acha kupotosha..Haya ndo masafa Marefu??????.. 150km hh ha Ukraine waliomba 300km missiles, kwa nini wasimpe jamani.. Sasa 150km si yanaishia mikese au bwawani tu Himars range yake ni ngapi?.. Mbona vichekesho hivi.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Feb 2, 2023 #44 The lost said: Mnavyomchukulia NATO kiuwepesi mpaka nabaki naguna tu.... Click to expand... Hao ni vijana wadogo tu wanajifurahisha.
The lost said: Mnavyomchukulia NATO kiuwepesi mpaka nabaki naguna tu.... Click to expand... Hao ni vijana wadogo tu wanajifurahisha.