MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,152
- 3,967
Kivipi mkuu?Dola inazid kupanda tu mkija kushtuka kashawatia kwenye madeni ya kutosha
Kivipi mkuu?Mpaka wapate solution ya huo mzozo wa kibiashara marekani atakuwa ameshavuna mabilioni ya dola
Na ndiyo lengo la marekan na mchina alivyo fala kajaa jumla wakati yeye ndiyo anaingiza mzigo mkubwa marekani!Mpaka wapate solution ya huo mzozo wa kibiashara marekani atakuwa ameshavuna mabilioni ya dola
kupitia ushuru mpya. Nadhani watakuja kuelewana na trump apunguze makali lakini wakati huo atakuwa ameshakusanya pesa ndefu.Kivipi mkuu?
Upo sahihi kabisa tayari baadhi ya nchi wameshaanza kuweka ushuru wa o.oo kwa bidhaa za marekani, mvimba macho kajaa mazima atanyooka muda si mrefu! Na yale madini alikuwa anaiba kule kongo muda si mrefu marekani inatinga kule jumla!Washachelewa sana,USA ilitakiwa kupata Rais wa Aina ya Trump muda sana.
Kwa sasa China ndo anaenda kudhibitiwa Rasmi na bidhaa za MADE IN USA zitaanza kuingia nchi nyingi kwa sababu ushuru utakua umepunguzwa.
Haiwezekani bidhaa original toka USA zikaingizwa kwa ushuru sawa na bidhaa fake za China,huo ni upumbavu na marekani kishaona huo uhuni anaotumia mchina kujipandisha kuwa super power.
Viwanda vya bidhaa kutoka USA vitaanza kufanya kazi ya uzalishaji na kutupa vitu original na kwa bei affordable
Ila MAGA ni watu wajinga sanaWashachelewa sana,USA ilitakiwa kupata Rais wa Aina ya Trump muda sana.
Kwa sasa China ndo anaenda kudhibitiwa Rasmi na bidhaa za MADE IN USA zitaanza kuingia nchi nyingi kwa sababu ushuru utakua umepunguzwa.
Haiwezekani bidhaa original toka USA zikaingizwa kwa ushuru sawa na bidhaa fake za China,huo ni upumbavu na marekani kishaona huo uhuni anaotumia mchina kujipandisha kuwa super power.
Viwanda vya bidhaa kutoka USA vitaanza kufanya kazi ya uzalishaji na kutupa vitu original na kwa bei affordable
Mchina alivyo fala 😀 ila MAGA akili zenu mnazijua wenyeweNa ndiyo lengo la marekan na mchina alivyo fala kajaa jumla wakati yeye ndiyo anaingiza mzigo mkubwa marekani!
Time will tellWashachelewa sana,USA ilitakiwa kupata Rais wa Aina ya Trump muda sana.
Kwa sasa China ndo anaenda kudhibitiwa Rasmi na bidhaa za MADE IN USA zitaanza kuingia nchi nyingi kwa sababu ushuru utakua umepunguzwa.
Haiwezekani bidhaa original toka USA zikaingizwa kwa ushuru sawa na bidhaa fake za China,huo ni upumbavu na marekani kishaona huo uhuni anaotumia mchina kujipandisha kuwa super power.
Viwanda vya bidhaa kutoka USA vitaanza kufanya kazi ya uzalishaji na kutupa vitu original na kwa bei affordable
Kwakweli ni upumbavu,unanunua kiatu kutoka china unavaa mwezi 1 au 2 kimeishaWashachelewa sana,USA ilitakiwa kupata Rais wa Aina ya Trump muda sana.
Kwa sasa China ndo anaenda kudhibitiwa Rasmi na bidhaa za MADE IN USA zitaanza kuingia nchi nyingi kwa sababu ushuru utakua umepunguzwa.
Haiwezekani bidhaa original toka USA zikaingizwa kwa ushuru sawa na bidhaa fake za China,huo ni upumbavu na marekani kishaona huo uhuni anaotumia mchina kujipandisha kuwa super power.
Viwanda vya bidhaa kutoka USA vitaanza kufanya kazi ya uzalishaji na kutupa vitu original na kwa bei affordable
ImagineKweli ata kiwanda cha viberiti hatuna?
Biden mpuuzi 😅Marekani ilipandisha kiwango cha maisha ya watu wake, kiasi kuwa kutengenezea bidhaa Marekani itabidi ziuzwe kwa bei ghali zaidi ili faida ipatikane.
Sasa unakuwa na sera unaenda kuweka viwanda vingi nnje ili kutengeneza bidhaa zako.
Sielewi kwanini hawakuliona hilo mapema.
Ilibidi waweke madaraja ya wafanyakazi, ili kuendana na ushindani.
Sasa ndio wanakuja kushtuka muda huu...