WASHINGTON: Mataifa zaidi ya 50 yamesema yapo tayari kuondoa vikwazo kwa bidhaa za Marekani

WASHINGTON: Mataifa zaidi ya 50 yamesema yapo tayari kuondoa vikwazo kwa bidhaa za Marekani

Trump ameweka ushuru kwenye nchi 185 kati ya 193 zilizopo Duniani.

Nchi nyingi wamesema wako tayari kuondoa ushuru dhidi ya bidhaa za Marekani. Zimbabwe imetangaza kuondoa ushuru kabisa.

Marekani wanajua wanachokifanya, hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine.
 
Washachelewa sana,USA ilitakiwa kupata Rais wa Aina ya Trump muda sana.
Kwa sasa China ndo anaenda kudhibitiwa Rasmi na bidhaa za MADE IN USA zitaanza kuingia nchi nyingi kwa sababu ushuru utakua umepunguzwa.

Haiwezekani bidhaa original toka USA zikaingizwa kwa ushuru sawa na bidhaa fake za China,huo ni upumbavu na marekani kishaona huo uhuni anaotumia mchina kujipandisha kuwa super power.

Viwanda vya bidhaa kutoka USA vitaanza kufanya kazi ya uzalishaji na kutupa vitu original na kwa bei affordable
Watu mnachekesha😃
 
Back
Top Bottom