Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mamako!Hata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
ππππWewe unapata wapi ujasiri wa kuambia watu hawajitambui.Hata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
ππππWewe unapata wapi ujasiri wa kuambia watu hawajitambui.Hata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Ujumbe umefika hata wangekuwa 2.1,2,e,4,5. Iiiiih mbona hata kiganjani hawajai kwani Murilo hapajui huko awatimbie...
Hao ni Kama wewe tu . HawajitambuiMamako!
Mateka tena?!Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa Duniani, Usipitwe.
Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu Lissu
View attachment 3343410View attachment 3343413
View attachment 3343420
Toa maoni yako
WachacheeeToa maoni yako
Message sent and deliveredHata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
wewe ni hasara kwa TaifaHata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Mama yako ana kovu kwenye kHata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Mwaka wa ngapi huu Huwa wanaandamana ππHii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa Duniani, Usipitwe.
Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu Lissu
View attachment 3343410View attachment 3343413
View attachment 3343420
Toa maoni yako
Mkuu, ulikuwepo kwenye maandamano? π€£π