Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,467
- 3,496
Watu wapo Washington wewe upo apo Uyole kwa bwana ako unapokea elfu 7 za kijani unasema hawajitambui?.Hao ni Kama wewe tu . Hawajitambui
Watu wapo Washington wewe upo apo Uyole kwa bwana ako unapokea elfu 7 za kijani unasema hawajitambui?.Hao ni Kama wewe tu . Hawajitambui
Hao ni hawajitambui kabisa na hawajui kuwa sheria ni msumeno.Watu wapo Washington wewe upo apo Uyole kwa bwana ako unapokea elfu 7 za kijani unasema hawajitambui?.
Ni aibu sana nchi yetu kudhalilika USMwaka wa ngapi huu Huwa wanaandamana 😂😂
Utashangaa Ma CHADEMA yanaanza kutukana matusi badala ya kujibu hoja.Mwaka wa ngapi huu Huwa wanaandamana 😂😂
Badala ya kuandamana kupinga tariffs tulizowekewa na kasongo wa huko, wao wanaandamania no reform No erection?Hata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Shetani kupigwa spana kila kona ya Dunia....Hata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Kuna mmoja tayari ameshaanza!Utashangaa Ma CHADEMA yanaanza kutukana matusi badala ya kujibu hoja.
Noma kweli yaani!Shetani kupigwa spana kila kona ya Dunia....
Naona cku hizi umeishiwa na machoziHata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Aibu gani hapo,Huwa huoni watu wanaandamana hawitaki Marekani? Inakuaga aibu? 😁😁Ni aibu sana nchi yetu kudhalilika US
Why?They are not serious.
Amandla...
😁😁😁 Haujitakbui wewe chawa mganga njaa wenzako wako DC kule kule Yezebeli anakoenda kuomba omba pesa za kutesa watanganyika, mwaka huu mnacho no reforms no elections imeenda kimataifaHata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Nawe pia umo kwenye genge hili; mbona ulikuwa unaonyesha nafuu kidogo siku za nyuma?Kuna mmoja tayari ameshaanza!
Wako IMF na document😁😁😁 Haujitakbui wewe chawa mganga njaa wenzako wako DC kule kule Yezebeli anakoenda kuomba omba pesa za kutesa watanganyika, mwaka huu mnacho no reforms no elections imeenda kimataifa
Kumbe kufanya hivyo ndiyo kukinukisha? Mbona wengine wana uelewa tofautiWameona wakakinukishe kule bibi tozo huteka maji,safi kabisa,no reforms no election