Wakae Washington DC wasijitambue!We Lima huko Maharage,uvimbiwe!
Huyo Mwashambwa, ni hasara tupu. Ni mtu asiye na faida kwa yeyote, labda kwa shetani.
Wakae Washington DC wasijitambue!We Lima huko Maharage,uvimbiwe!
keyboard worriers 😂Mkuu, ulikuwepo kwenye maandamano? 🤣
Hata shetani anamkataa!Huyo Mwashambwa, ni hasara tupu. Ni mtu asiye na faida kwa yeyote, labda kwa shetani.
Kiuhalisia hawa ndiyo wanaipenda Tanzania. Hii ndiyo mbegu iliyopandwa kwenye udongo.zuri. Wewe upo kwenye magugu kwa sababu huna upendo.Hata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Ukichaa kinampanda!Nawe pia umo kwenye genge hili; mbona ulikuwa unaonyesha nafuu kidogo siku za nyuma?
Huyu sio mnyakyusa,ni wa Zambia huko!Una ROHO MBAYA sana wewe kijana. Sijui ni Mnyakyusa wa wapi wewe....!!?
Mpuuzi Wewe.Hao ni wanaharakati mashoga waliokusanywa SIYO Watanzania Acheni kudharirisha jina letu Tanzania
KUANZIA LEO NA WEWE NA KUPA BLOCK SITAKI KUONA SMS ZAKO TENA.Hata ukiwaangalia tu kimuonekano unagundua kuwa hawajitambui
Duu kwahiyo watu wanasifia mpaka vijambo vya maharagwe ?😂😂😂😂Wewe unapata wapi ujasiri wa kuambia watu hawajitambui.
Kuna mtu anaekuzidi wewe kutojitambua.
Unasifia mpaka ushuzi.
Hao kama kumi na mbili hivi. Ni kama Asilimia ngapi ya waTZ waishio America?Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa Duniani, Usipitwe.
Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu Lissu
View attachment 3343410View attachment 3343413
View attachment 3343420
Toa maoni yako
Hongera maiti inayotembeaMpuuzi Wewe.
Wapiga kura wakiwa wachache wataathiri nini ikiwa CCM watajipitisha kwa kishindo?Jinsi inavyoonekana ni kuwa uchaguzi ujao utakuwa na wapiga kura wachache sana. Bora Vyama vyote na Serikali wakae pamoja kunusuru hali hii.
Utasikia hakuna kama mama, mama anapumua harufu ya al oud😂😂😂Duu kwahiyo watu wanasifia mpaka vijambo vya maharagwe ?