Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Mtu yeyote anaweza kwenda IMF na document na ikapokelewa. Swali ni kuwa wanategemea nini kutoka kwa IMF ambao mwezi uliopita walikuwa Tanzania kwa ajili ya majadiliano ya 2025 Article IV. Ukisoma taarifa ya hayo ni wazi kuwa hawana tatizo na Tanzania. Kujipanga nje ya ofisi ni stunt ambayo haitakuwa na impact yeyote
Amandla...
Freedom of speech babu.
Wacha watu watumie uhuru wao wa kutoa maoni.
Kwani Tanzania si itaendelea kudeal.na IMF in the future?. Au kwa kuwa ilideal nao juzi ndo imekwisha hiyo?
Kama IMF ililazimisha structural adjustment programmes (SAP) na serikali ikaufyata, basi kelele zikizidi huenda IMF ikaja na SAPv2 itakayolazimisha madikteta waache uonevu.