nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Hivyo vibwengo hakuna mtu anawajali ht waandamane uchiHii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa Duniani, Usipitwe.
Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu Lissu
View attachment 3343410View attachment 3343413
View attachment 3343420
Toa maoni yako