Washirika wenzangu wa Shindano la Stories of Change 2023 mnafuata vigezo vilivyowekwa kweli? Milioni 20 sio mchezo ujue!

Napita kuwakumbusha tu wakuu kwamba Milioni 7 si mchezo, tukaze buti...bado sijaona wa kunitisha kwa mabomu ninayoandaa😀😀😀
 
Lengo la hiyo kitu kwanza sio kupata hela, ni kuonesha njia ya mabadiliko wengine waipitie, kama njia yako ikiwa nzuri zaidi basi utapata hiyo unayosema kama zawadi kwa mchango wako, kuanzia mwanzo usiifanye kwa lengo la kupata hela
🙌
 
Maneno 700 sio mchezo, kweli pesa sabuni ya roho
 
Nimepost andiko langu "AZOLLA MKOMBOZI WA WAKULIMA na WAFUGAJI NCHINI"i nikalikuta kwenye jukwaa la kilimo na uvuvi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Je, mkuu wewe hili bandiko lako linahusu utawala bora au uwajibikaji? Mpaka sasa una kura 15 lakini kuna baadhi wameandika minakasha kwa kufuata vigezo vyote hadi sasa wana kura 0.
 
Je, mkuu wewe hili bandiko lako linahusu utawala bora au uwajibikaji? Mpaka sasa una kura 15 lakini kuna baadhi wameandika minakasha kwa kufuata vigezo vyote hadi sasa wana kura 0.
Huu uzi itakua modz waliona unafaa kuwambusha watu kuhusu shindano wakaona watu wauone huku, afu acha makasiriko...kupigiwa kura ni uamuzi wa wanaosoma andiko lako, kwaiyo we andika kinachowavutiwa watu basi watu watakuja kutia neno na kukupa kura zao. Unaandika kitu ambacho hakishawishi watu kuchangia kama vile unapiga somo la uraia unatemea utapata kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…