Asante sana mkuu,...ila bandiko lako sijalielewa lina maanisha nini.
Asante sana mkuu kwa ukaribisho.
Bravo mkuu kwa ukumbusho, hiyo ni well known issue.Tangu ile sheria ihalalishwe net zinabanwa sanaFuatilia huu uzi utanielewa Mkuu. Addiction ipo kwa sababu ya mijadala moto moto kuhusu masuala mbali mbali nchini na Ulimwengu wote.
JamiiForums yashinda mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)
Karibu sanaHabari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila kinachoendelea hapa jf na ndiyo sababu ya kuamua kujiunga nanyi.Nina imani kubwa kwa ushirikiano wenu.
Asante sana mkuu.Karibu sana
Karibu sana ila umefanya kosa kubwa kutanguliza tread kabla ya picha!anyway kama hiyo prfl ni wewe ebu ni p.m fasta niko stendi hapa soda yako nisha ifunua inapoa![emoji86] [emoji86]Habari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila kinachoendelea hapa jf na ndiyo sababu ya kuamua kujiunga nanyi.Nina imani kubwa kwa ushirikiano wenu.
Asante mkuu kwa ukaribisho.Tuko pamoja kama police na ukuta karibu sana utapata vitu vitamu
Asante mkuu kwa ukarimu wenu.Krb sana JF...
Hahahaaa,...mkuu picha si tunaweka kwenye id? au ni kwenye thrd? BTW nimefurahishwa na ukarimu wako.Karibu sana ila umefanya kosa kubwa kutanguliza tread kabla ya picha!anyway kama hiyo prfl ni wewe ebu ni p.m fasta niko stendi hapa soda yako nisha ifunua inapoa![emoji86] [emoji86]
Sema suu!!kwayo hiyo picha hapo kwenye ovatar ni wewe!!!!basi nimekupenda bure bila gharama!![emoji134] [emoji134]Hahahaaa,...mkuu picha si tunaweka kwenye id? au ni kwenye thrd? BTW nimefurahishwa na ukarimu wako.
Asante mkuu...na karibu sana.Sema suu!!kwayo hiyo picha hapo kwenye ovatar ni wewe!!!!basi nimekupenda bure bila gharama!![emoji134] [emoji134]
Asante sana mkuu, nimeshakaribia.Karibu jisikie upo nyumbani
Dah! asante mkuu kwa ukarimu wako.Karibu pita mmpaka chumban mkuu
Wee unakaaga api [emoji134] [emoji134]Asante mkuu...na karibu sana.
Nyumbani mkuu.Wee unakaaga api [emoji134] [emoji134]