Washirikawa JF, amani iwe kwenu

Washirikawa JF, amani iwe kwenu

Habari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila kinachoendelea hapa jf na ndiyo sababu ya kuamua kujiunga nanyi.Nina imani kubwa kwa ushirikiano wenu.
Karibu sana
 
Tuko pamoja kama police na ukuta karibu sana utapata vitu vitamu
 
Habari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila kinachoendelea hapa jf na ndiyo sababu ya kuamua kujiunga nanyi.Nina imani kubwa kwa ushirikiano wenu.
Karibu sana ila umefanya kosa kubwa kutanguliza tread kabla ya picha!anyway kama hiyo prfl ni wewe ebu ni p.m fasta niko stendi hapa soda yako nisha ifunua inapoa![emoji86] [emoji86]
 
Hahahaaa,...mkuu picha si tunaweka kwenye id? au ni kwenye thrd? BTW nimefurahishwa na ukarimu wako.
 
Sema suu!!kwayo hiyo picha hapo kwenye ovatar ni wewe!!!!basi nimekupenda bure bila gharama!![emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom