Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Miaka yote nilifikiri wewe ni mwanamke kumbe shoga?
 
Leo mnamkana papa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mpaka inatia kichefuchefu, madume mazima yanarambana ndimi. Grhhhh, aipendezi "exit" kutumika kama "inlet". Mungu ni mkali hatari inapokuja kwenye haya mambo. Majaa mengine yana watoto na wake yanawaacha yanaenda kufanya kinyume na maumbire. Ujinga kabisa!!!!
 
Huyu mbwa anaforce. Ile barua, imesema kila mwanadamu ana haki ya kupata blessing, ila hiyo blessing sio ku bless ushoga, hapo ndipo confusion ilipo.
 
Kila mwenye dhambi anastahili kuombewa! Kanisa halijabadili na haliwezi kubadili maandiko milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…