Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,632
- 3,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja 🤣Wakatoliki maji yamezidi unga...[emoji23][emoji23]
_________________________________________Hii kesi imefungwa rasmi .no gay blessing
Heheeee hawajui kama ndio wanapoteza kondooKuna wanaotetea mara kubariki sio shida ila wanajua wanatetea ujinga ni vile tu dini imekolea
Hawataamini.Heheeee hawajui kama ndio wanapoteza kondoo
naomba nikuulize, hivi nyie gays mna connection na freemason (666) au issue za kishirikina zozote?@cocasticUnateseka ukiwa wapiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka yote nilifikiri wewe ni mwanamke kumbe shoga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu mwaka ni special kwa [emoji304][emoji2524][emoji304].
Pope Francis sijui alichelewa wapi kuwepo pale Vatican,
Watu weuweeeeeeeee!!!! Wenye chuki na husda vimbeni hadi mpasukeeee, sio shida zaoo kabisaaa.
Leo mnamkana papa?Sijui ni kwanini hili suala Waislam wa Zanzibar mmelibebea njuga sana. Suala hilo ni la Papa na Kanisa lake katoliki na sio Msimamo wa Kanisa Zima. Hilo ni sawa na SHEKHE MKUU WA BAKWATA atangaze na kuruhusu Waislamu wale kitimoto, sisi WASUNNI na baadhi ya Waislam tulio chini ya BAKWATA hatutaliunga mkono wala likubali kwani sio Msimamo wa UISLAM ila ni wa mtu binafsi. Ili kitu kiwe halali ndani ya dini husika ni lazima liwe limeandikwa kwennye vitabu vitakatifu vinavyosimamiwa na imani hiyo.
Hakuna sehemu kwenye Biblia imeruhusu wala kuongelea mashoga waoane. Biblia inaeleza na kukataza maharishi, mashoga na Ufiraji (1 Korintho 6:9) kwahiyo msimamo wa Papa sio msimamo wa Kanisa na Wakristo kwa ujumla.
Wanywe uji sasaWakatoliki maji yamezidi unga...[emoji23][emoji23]
Hakuna mahala mashoga wameruhusiwa kuoana na papa wewe
Umeandika uongo, uzushi, papa hajaruhusu ila alichosema ukijisema eti shoga ubarikiwe hicho kitu hakipo. Ila media naona wajinga kweli kweli wameamua kupotosha