Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

1703257879387.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu mwaka ni special kwa [emoji304][emoji2524]‍[emoji304].
Pope Francis sijui alichelewa wapi kuwepo pale Vatican,

Watu weuweeeeeeeee!!!! Wenye chuki na husda vimbeni hadi mpasukeeee, sio shida zaoo kabisaaa.
Miaka yote nilifikiri wewe ni mwanamke kumbe shoga?
 
Sijui ni kwanini hili suala Waislam wa Zanzibar mmelibebea njuga sana. Suala hilo ni la Papa na Kanisa lake katoliki na sio Msimamo wa Kanisa Zima. Hilo ni sawa na SHEKHE MKUU WA BAKWATA atangaze na kuruhusu Waislamu wale kitimoto, sisi WASUNNI na baadhi ya Waislam tulio chini ya BAKWATA hatutaliunga mkono wala likubali kwani sio Msimamo wa UISLAM ila ni wa mtu binafsi. Ili kitu kiwe halali ndani ya dini husika ni lazima liwe limeandikwa kwennye vitabu vitakatifu vinavyosimamiwa na imani hiyo.

Hakuna sehemu kwenye Biblia imeruhusu wala kuongelea mashoga waoane. Biblia inaeleza na kukataza maharishi, mashoga na Ufiraji (1 Korintho 6:9) kwahiyo msimamo wa Papa sio msimamo wa Kanisa na Wakristo kwa ujumla.
Leo mnamkana papa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mpaka inatia kichefuchefu, madume mazima yanarambana ndimi. Grhhhh, aipendezi "exit" kutumika kama "inlet". Mungu ni mkali hatari inapokuja kwenye haya mambo. Majaa mengine yana watoto na wake yanawaacha yanaenda kufanya kinyume na maumbire. Ujinga kabisa!!!!
 
Huyu mbwa anaforce. Ile barua, imesema kila mwanadamu ana haki ya kupata blessing, ila hiyo blessing sio ku bless ushoga, hapo ndipo confusion ilipo.
 
Kila mwenye dhambi anastahili kuombewa! Kanisa halijabadili na haliwezi kubadili maandiko milele.
 
Back
Top Bottom