nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
yaani watu wanapenda vitu haramu!KWA JINSIA WALIVYO JIPANGA.
NDOA ZA MWANAMKE NA MWANAUME HAZITAKAA ZIDUMU.
NA NDOA ZA MASHOGA NDIO ZITAKUA IMARA SASA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani watu wanapenda vitu haramu!KWA JINSIA WALIVYO JIPANGA.
NDOA ZA MWANAMKE NA MWANAUME HAZITAKAA ZIDUMU.
NA NDOA ZA MASHOGA NDIO ZITAKUA IMARA SASA.
Acha kutolea mifano ya kipuuzi ukiihusianisha na uislamSijui ni kwanini hili suala Waislam wa Zanzibar mmelibebea njuga sana. Suala hilo ni la Papa na Kanisa lake katoliki na sio Msimamo wa Kanisa Zima. Hilo ni sawa na SHEKHE MKUU WA BAKWATA atangaze na kuruhusu Waislamu wale kitimoto, sisi WASUNNI na baadhi ya Waislam tulio chini ya BAKWATA hatutaliunga mkono wala likubali kwani sio Msimamo wa UISLAM ila ni wa mtu binafsi. Ili kitu kiwe halali ndani ya dini husika ni lazima liwe limeandikwa kwennye vitabu vitakatifu vinavyosimamiwa na imani hiyo.
Hakuna sehemu kwenye Biblia imeruhusu wala kuongelea mashoga waoane. Biblia inaeleza na kukataza maharishi, mashoga na Ufiraji (1 Korintho 6:9) kwahiyo msimamo wa Papa sio msimamo wa Kanisa na Wakristo kwa ujumla.
Mtie banNi vile tu hapa jukwaani kila mtu ana uhuru, ana haki ya kuwa vyovyote na kutoa maoni yoyote yenye staha na maadili mema.
Kila mtu aliyeko hapa Jf ana thamani na ana utu na zote tunapaswa kujali katika hilo.
Binafsi cocastic ameni disappointing sana.
Uhuru ni wake lakini ukweli ajuwe ana vunja moyo na kukwaza watu, aheri angekuwa ananyamaza tu.
Inashangaza!!!Kanisa linaichukia DP World zaidi kuliko linavyochukia ushoga!
Nimecheka kifala [emoji1787][emoji3][emoji1787]Kama hii habari ni kweli basi kanisa limeshapoteana!!!!
Hapa mwanangu hakuna ch kipa imara wala nini nitamfundisha kusali mimi mwenyewe huu ni uwehu!!
Yani hawa jamaa weupe sijui wana shida gani na hii dunia, naisi wanataka dunia iwe ni sehemu ya ajabu sana na isiyo kuwa salama.
Kuna siku itafika mpaka uwe shoga ndo upate kuhudumiwa hudum za kijamii, hawa sio binadamu wenzetu kanisa na ushoga kwelii???
Biblia yenyewe imekataza mambo ya sodoma huyu mzee atakuwa ni shoga bila shaka.
Sijaweza kusoma huu upuuzi wote uliouandika mkuu japo kanisa halijatikiswa na halitatikisika na hilo la kusema litaingizwa kwenye Biblia halitatokea wala kuja kutokea japo mengine uliyoandika sikusoma.Acha kutolea mifano ya kipuuzi ukiihusianisha na uislam
Kwenye matukio kama haya ndio waislam hua wanaonekana wakorofi kumbe wanatetea haki
Papa kahalalisha jambo na utekelezaji huo ushaanza
Unajua athari ya maneno alioyasema papa
Hayajaandikwa kwenye biblia aliyosema ila maadam utekelezaji umeanza nisuala la muda tu hayo masuala yatataftiwa space kwenye biblia na yatakaa na vizazi vijavyo vya wakristo huko mbele watayasoma wataona nijambo lakawaida
Kama wakati tupo mashuleni tulikaririshwa ndoa za mke zaidi ya mmoja ni uvunjivu wa haki za binaadam kupitia mitaala rasmi
Kumbe deep huko watu wanatuandalia kuja kutuhalalishia huu usenge na ufiranaji wao
Mkiwa kama RC kauli ya papa kuikemea tu nakusema haipo kwenye biblia haliakua papa bado yupo kwenye nafasi yake ile ile nikama mmekubaliana nae
Namadhara ya hili jambo miaka 50 mingi kumi tu hapo utaanza kuiona athari zake maana mtoto wamiaka saba waleo anaanza kumezeshwa haya akifika miaka kumi ijayo utamwambia nini akuamini
RC lawama lawama bila kuchukua hatua hazisaidii huyo kama angekua bakwata ama kiongozi wa uislam kama unavyodai angekua kwasasa kashafika kwa Mungu alomuumba au anaishi kama digi digi kama Sulaiman rush die (halaf hapa mngekuja wakristo nk mkasema waislam itikadi kali kumbe kuna mambo ukiyaacha ndio yanakua nandio inakua kama tabia kwenye jamii fulani)
Kanisa limetikiswa nakwahakika limetikisika haswaaa
ThubutuuuuMbona keshapingwa na wengi tu, huu ufirauni utaishia huko huko Ulaya
Hata wao waliletewa pia.Dini zilizo letwa na majahazi waletaji wenyewe ndio hao hatari sanaa kwa ukuu wa muafrica
Hahaaaaa nimecheka ulivyonitukana foolish. Haya bro haina shida.Nani kakuambia mimi ni muislamu na nipo ZANZIBAR? Halafu nikuulize habari inapotoka kuna mipaka ya nani aisome na nani asisome? Foolish
Kwani imani za mizimu zinakataza mapenzi ya jinsia moja?Ibada waafrica (ibada za mizimu) hazina ukakasi hao wote kitendo cha kupeleka ushoga wao madhabau ya mizimu wangekufa na story yao ikaishia hapo na ikawa fundisho kwa wengine
Si mnasema mizimu n uchaw imekuaje tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani imani za mizimu zinakataza mapenzi ya jinsia moja?
Yamekua. [emoji23][emoji23]haya sasa,
Hata cjui mwayaa.yamekuwa yapi kwan mkuu?
Hakuna upuuzi hapoSijaweza kusoma huu upuuzi wote uliouandika mkuu japo kanisa halijatikiswa na halitatikisika na hilo la kusema litaingizwa kwenye Biblia halitatokea wala kuja kutokea japo mengine uliyoandika sikusoma.
Heheeee lamarinda[emoji1787][emoji3][emoji1787]Tuwe makini sana na wazungu. Wametunyang'anya vingi hili la marinda Africa igome.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hana jipyaa yule.Yule MLEVI RUWAICHII anasemaje?
Aiseeee, umefikiria nini mzee mpaka ukaja na hii comment?Tuwe makini sana na wazungu. Wametunyang'anya vingi hili la marinda Africa igome.
Nakuja na Ba tamu tunabarikiwa tarime, party inafanyikia Serengeti national park.Tutolee harufu ya mavi humu. Njooni nanyi tuwabariki huku Jimbo katoliki Tarime muone kama hatutawanyonga. Maana tutawapiga fimbo kweli kweli.