Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Sijui ni kwanini hili suala Waislam wa Zanzibar mmelibebea njuga sana. Suala hilo ni la Papa na Kanisa lake katoliki na sio Msimamo wa Kanisa Zima. Hilo ni sawa na SHEKHE MKUU WA BAKWATA atangaze na kuruhusu Waislamu wale kitimoto, sisi WASUNNI na baadhi ya Waislam tulio chini ya BAKWATA hatutaliunga mkono wala likubali kwani sio Msimamo wa UISLAM ila ni wa mtu binafsi. Ili kitu kiwe halali ndani ya dini husika ni lazima liwe limeandikwa kwennye vitabu vitakatifu vinavyosimamiwa na imani hiyo.

Hakuna sehemu kwenye Biblia imeruhusu wala kuongelea mashoga waoane. Biblia inaeleza na kukataza maharishi, mashoga na Ufiraji (1 Korintho 6:9) kwahiyo msimamo wa Papa sio msimamo wa Kanisa na Wakristo kwa ujumla.
Acha kutolea mifano ya kipuuzi ukiihusianisha na uislam
Kwenye matukio kama haya ndio waislam hua wanaonekana wakorofi kumbe wanatetea haki
Papa kahalalisha jambo na utekelezaji huo ushaanza
Unajua athari ya maneno alioyasema papa
Hayajaandikwa kwenye biblia aliyosema ila maadam utekelezaji umeanza nisuala la muda tu hayo masuala yatataftiwa space kwenye biblia na yatakaa na vizazi vijavyo vya wakristo huko mbele watayasoma wataona nijambo lakawaida
Kama wakati tupo mashuleni tulikaririshwa ndoa za mke zaidi ya mmoja ni uvunjivu wa haki za binaadam kupitia mitaala rasmi
Kumbe deep huko watu wanatuandalia kuja kutuhalalishia huu usenge na ufiranaji wao
Mkiwa kama RC kauli ya papa kuikemea tu nakusema haipo kwenye biblia haliakua papa bado yupo kwenye nafasi yake ile ile nikama mmekubaliana nae
Namadhara ya hili jambo miaka 50 mingi kumi tu hapo utaanza kuiona athari zake maana mtoto wamiaka saba waleo anaanza kumezeshwa haya akifika miaka kumi ijayo utamwambia nini akuamini
RC lawama lawama bila kuchukua hatua hazisaidii huyo kama angekua bakwata ama kiongozi wa uislam kama unavyodai angekua kwasasa kashafika kwa Mungu alomuumba au anaishi kama digi digi kama Sulaiman rush die (halaf hapa mngekuja wakristo nk mkasema waislam itikadi kali kumbe kuna mambo ukiyaacha ndio yanakua nandio inakua kama tabia kwenye jamii fulani)
Kanisa limetikiswa nakwahakika limetikisika haswaaa
 
Ni vile tu hapa jukwaani kila mtu ana uhuru, ana haki ya kuwa vyovyote na kutoa maoni yoyote yenye staha na maadili mema.
Kila mtu aliyeko hapa Jf ana thamani na ana utu na zote tunapaswa kujali katika hilo.
Binafsi cocastic ameni disappointing sana.
Uhuru ni wake lakini ukweli ajuwe ana vunja moyo na kukwaza watu, aheri angekuwa ananyamaza tu.
Mtie ban
Ila shida wengine wakimjibu utaona alichoandika
Moderator kwenye hili mtusaidie mtu ukimla ban usione lolote kuhusu yeye
Sasa ban gan hii watu wakireply comments zake unaziona
 
Kama hii habari ni kweli basi kanisa limeshapoteana!!!!

Hapa mwanangu hakuna ch kipa imara wala nini nitamfundisha kusali mimi mwenyewe huu ni uwehu!!

Yani hawa jamaa weupe sijui wana shida gani na hii dunia, naisi wanataka dunia iwe ni sehemu ya ajabu sana na isiyo kuwa salama.

Kuna siku itafika mpaka uwe shoga ndo upate kuhudumiwa hudum za kijamii, hawa sio binadamu wenzetu kanisa na ushoga kwelii???

Biblia yenyewe imekataza mambo ya sodoma huyu mzee atakuwa ni shoga bila shaka.
Nimecheka kifala [emoji1787][emoji3][emoji1787]
Nisuala la muda tu kwakweli dah
 
Acha kutolea mifano ya kipuuzi ukiihusianisha na uislam
Kwenye matukio kama haya ndio waislam hua wanaonekana wakorofi kumbe wanatetea haki
Papa kahalalisha jambo na utekelezaji huo ushaanza
Unajua athari ya maneno alioyasema papa
Hayajaandikwa kwenye biblia aliyosema ila maadam utekelezaji umeanza nisuala la muda tu hayo masuala yatataftiwa space kwenye biblia na yatakaa na vizazi vijavyo vya wakristo huko mbele watayasoma wataona nijambo lakawaida
Kama wakati tupo mashuleni tulikaririshwa ndoa za mke zaidi ya mmoja ni uvunjivu wa haki za binaadam kupitia mitaala rasmi
Kumbe deep huko watu wanatuandalia kuja kutuhalalishia huu usenge na ufiranaji wao
Mkiwa kama RC kauli ya papa kuikemea tu nakusema haipo kwenye biblia haliakua papa bado yupo kwenye nafasi yake ile ile nikama mmekubaliana nae
Namadhara ya hili jambo miaka 50 mingi kumi tu hapo utaanza kuiona athari zake maana mtoto wamiaka saba waleo anaanza kumezeshwa haya akifika miaka kumi ijayo utamwambia nini akuamini
RC lawama lawama bila kuchukua hatua hazisaidii huyo kama angekua bakwata ama kiongozi wa uislam kama unavyodai angekua kwasasa kashafika kwa Mungu alomuumba au anaishi kama digi digi kama Sulaiman rush die (halaf hapa mngekuja wakristo nk mkasema waislam itikadi kali kumbe kuna mambo ukiyaacha ndio yanakua nandio inakua kama tabia kwenye jamii fulani)
Kanisa limetikiswa nakwahakika limetikisika haswaaa
Sijaweza kusoma huu upuuzi wote uliouandika mkuu japo kanisa halijatikiswa na halitatikisika na hilo la kusema litaingizwa kwenye Biblia halitatokea wala kuja kutokea japo mengine uliyoandika sikusoma.
 
Acha walane . Watajua wao. Maana hta tukchukia hatuwez badil yanayoendelea dunian

Mambo n makubw sn.
 
Ibada waafrica (ibada za mizimu) hazina ukakasi hao wote kitendo cha kupeleka ushoga wao madhabau ya mizimu wangekufa na story yao ikaishia hapo na ikawa fundisho kwa wengine
Kwani imani za mizimu zinakataza mapenzi ya jinsia moja?
 
Tuwe makini sana na wazungu. Wametunyang'anya vingi hili la marinda Africa igome.
Heheeee lamarinda[emoji1787][emoji3][emoji1787]
Hizi zama za mwisho ngumu sana hizi kwakweli
Hawa majamaa wajinga ila wajanja sana wapuuzi hawa
Hawa hawatulengi sisi wanalenga vizazi vyetu
Sisi hapa kwa umri wetu 20s nakuendelea sio rahisi tena kutuingiza huko kwa wingi
Ila vijana wetu ambao wanazaliwa ama wanamiaka 10 kuja chini kwasasa
Wazungu wabaya sana basi tu
 
Back
Top Bottom