Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kabla ya Papa kupingwa inabidi inabidi ile Propaganda ya kikatoliki kuwa Papa ni sauti ya mungu ifutwe kabisa.Kwenye hili atapingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya Papa kupingwa inabidi inabidi ile Propaganda ya kikatoliki kuwa Papa ni sauti ya mungu ifutwe kabisa.Kwenye hili atapingwa
Sijawahi kusikia hiyo sauti, ila kama ipo huu ndio mwisho wake.Kabla ya Papa kupingwa inabidi inabidi ile Propaganda ya kikatoliki kuwa Papa ni sauti ya mungu ifutwe kabisa.
Mimi sioni aibu kwa sababu nafata kile alichosema Mungu sio binadamuKwa sasa ni aibu na fedheha kujiita mkatoliki.
Usikute huyo mfalme nae kaolewa yaani ameolewa, watu huwa hawaamini kuwa hili kanisa ni shetwani lakini wataelewa mdogo mdogoPapa ni kama mfalme, watu wanasema mfalme hapingwi
Absolutely !!! Time's up !!! Condemning and Blessing the same thing !!! (Totally unacceptable !!!).Yanatimia.....
Huu ni wakati wa kuachana na mafundisho ya kizungu....
Inbox pls😭😭😭😭😭 I beg youKisa nn?
CocasticKisa nn?
ControversialAbsolutely !!! Time's up !!! Condemning and Blessing the same thing !!! (Totally unacceptable !!!).