Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Kabla ya Papa kupingwa inabidi inabidi ile Propaganda ya kikatoliki kuwa Papa ni sauti ya mungu ifutwe kabisa.
Sijawahi kusikia hiyo sauti, ila kama ipo huu ndio mwisho wake.

Ila mbona nasikia tena hajabariki ushoga bali kauli imepotoshwa?
 
Ukweli ambao waumini wengi hawataki kuuskia ni kuwa the roman catholic organisation sio kanisa kama wanavyodhani. Bali ni kikundi cha elites chenye lengo la kuwatenga na mungu wa kweli
 
Back
Top Bottom