Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo kuhusu kuchukuliwa hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis amesema: "Vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, na serikali itaendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi pamoja na Mahakama kuhakikisha sheria inatekelezwa."
Pia, Soma: