Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo kuhusu kuchukuliwa hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis amesema: "Vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, na serikali itaendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi pamoja na Mahakama kuhakikisha sheria inatekelezwa."
Mh Waziri hajui hata takwimu za matukio ya jinsia moja.
Sasa anapinga vipi Kitu ambacho hakijui??
Ushoga ni sera ya kimataifa kuipinga ni kutwanga Maji kwenye kinu.
Jukumu LiPo kwako wewe mzazi kumsimamia mtoto wako ili asiwe miongoni mwa mashoga Ila usitegemee sera za serikali kumlinda mwanao

Ndio, yaan serikal inajitoa ufahamu inaacha kufanya mambo ya msingi inaingilia faragha za watu kwa kweli, kwani kula tigo ni ajabu jaman? Huko serikalini wanakulana sana sema kwa siri. So washughulikie na maendeleo ya nchi waache makasiriko

Siku mtakapoanza kupeleka mahakami mtajipeleka na ninyi wenyewe na hao wasimamia ulinzi kwa kweli, kwani yule askari wa Zanzibar alifungwa miaka mingapi jaman? 😅
Ndio, yaan serikal inajitoa ufahamu inaacha kufanya mambo ya msingi inaingilia faragha za watu kwa kweli, kwani kula tigo ni ajabu jaman? Huko serikalini wanakulana sana sema kwa siri. So washughulikie na maendeleo ya nchi waache makasiriko
Ndio, yaan serikal inajitoa ufahamu inaacha kufanya mambo ya msingi inaingilia faragha za watu kwa kweli, kwani kula tigo ni ajabu jaman? Huko serikalini wanakulana sana sema kwa siri. So washughulikie na maendeleo ya nchi waache makasiriko
Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo kuhusu kuchukuliwa hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis amesema: "Vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, na serikali itaendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi pamoja na Mahakama kuhakikisha sheria inatekelezwa."
Upumbavu mtupu wametunga sheria za kumfanya mwanamke kama bomu kwa mwanaume kisha wanajidai kupinga ushoga ...kama unatunga sheria hatarishi dhidi ya mtoto wa kiume kuhusu msichana wa chini ya miaka 18 moja kwa moja unatengeneza bomu.la ushoga ..eti msichana wa chini ya miaka 18 hata awe amesha zaa ukitembea naye au kumuoa umebaka ufungwe maisha ?...mnatunga sheria za kupinga mfumo dume kisha unakuja kujidai unapinga ushoga ...hivi ukiondoa mfumo dume sindiyo umeleta ushoga ...kanuni inasema mfumo dume ndiyo umwanamume na mfumo jike ndiyo umwanamke ..mifumo yote miwili ni muhimu wanawake wafunzwe kuwa wanawake na kuishi kiuwanawake ndiyo mfumo JIKE...na wanaume wafunzwe kuwa wanaume haswa na kuishi kiuanaume ndiyo mfumo DUME