Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

Hata mim nnaona kudis mfumo DUME ni upimbi kwahyo wanataka watoto wakiume waishi mfumo JIKE!?
 
Yule afande wa Zenji aliachiliwa huru
Huyo afande sijui aliwezaje kuwa ndani ya jeshi maana huwa wanapimwa kabla ya kujiunga na pia wakiwa kazini. Sijui wanavyopimwa. Ila wanapimwa niliambiwa
 
Rais wa Uganda ndiye raiS pekee Africa aliyesimama na kupinga ushoga hadharani na kwenye majukwaa ya kimataifa. Kwamba taasisi na idara mbali mbali zinataekeleza maagizo ya mkuu wao.

Hizi nyi nyingine, ushoga ni ruksa.
Hizi za sheria yetu inaseme vile, inasema hiv ni blah blah
 
Wasimuache na RC wa Chuga.

Na januari.
Huyu kijana mshika dini, mwenye heshma zake, mtanashati, msomi mzuri, kiongozi wa siku zijazo haogopi harufu ya kinyesi?
Mjanja ni yeye katika hayo mahusiano au yeye ndio mpole a.k.a delicious?
 
Yule Mama anaegombea urais Marekani anavyoupigia chapuo Uchoko akishinda lazima tupewe msaada wenye masharti kwa njaa zetu.
 
Babu Talent wa Dainamo atakwepa kwa nguvu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…