Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,456
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu
Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
nani amfute kazi? Juma?Kama ni kweli hakimu huyo kwisha kazi!!!!!
Priority yetu ni akina LemaWatuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
unaifahamu hadithi ya nyani waliompamba mwenzao ili akaolewe na mwenye shamba na wao wale mahindi kirahisi?Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Andika vitu vyenye maanaWatuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Rais alikupa whisky uliyomuomba pale Ikulu?Kifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.