Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
Unashangaa nini, mbona hushitukii kufukuliwa makaburi!
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
Nyie si mlipewa nafasi ya kumuuliza maswali mkulu, badala mjikite kwny maswali yenye tija kwa nchi mkaendekeza unazi na kujikomba kutafuta vyeo halafu baadae mnakuja kuhoji mambo JF........ Tz bhana kweli z a wonderful country
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.

Haaa.. wahujumu uchumi, ambao kisheria hawatakiwi kupewa dhamana, ila wamepewa..

Ila Mbunge Lema, kaota ndoto tu kakosa dhamana.. simtetei Lema but am trying to make a comparison..

Ha ha haaaa.. hii ni laana.!!
 
Hahhahah mahakama iachwe ifanye kazi halafu ww nilikushusha thaman tokea ulipoomba whiskey ikulu nikajua tu huna tofauti na kina makonda
 
Aiseee nchi hii ni kosa kubwa sana kuota mawakili wa serikal wapo tayar watu mie nguvu zote kuliko muhujumu uchumi... Kifupi ni kosa Zito kuota kuliko anayehujumu uchumi aiseww
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
Ha! Ha! Ha! Huyo mpemba ana mtandao mkubwa sana miongoni mwa viongozi wastaafu na waliopo , halafu kesi za aina hii serikali yako haijawahi kushinda na wala haitoshinda milele .
 
Priority yetu ni akina Lema
Lema anaingiaje katika hili? We kweli ni mvivu wa kufikiri. Yaani watu wakisema ukweli ni lazima uuhusishe ukweli huo na kesi ya Lema. Kweli elimu ni ya muhimu sana!
 
Back
Top Bottom