Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Isha sema hapa sana wadau kuhusu Mahakama hii
Haitakuwa tofauti na Kisutu
Ni kupoteza tu hela na muda
Tangu lini kesi za uhujumu uchumi zina dhamana?
Magufuli tupishe tu 2020
 
Manyerere Jackton bado kuna watu waamini "Mtukufu " ana nia ya dhati ya kupambana na ufisadi ndani ya nchi yetu kama wahujumu uchumi waachiwa kwa dhamana unategemea nini?
Kuna wabunge wa CCM walihongwa milioni 10 kila mbunge wapitishe muswada wa habari ambao waliupitisha wa kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari.
Ulisikia kauli ya mtukufu kuhusu tuhuma za wabunge hao?
Tembo watu wetu watakuja kuwaona kwenye picha tuu.
Magufuli ndo kawaachia mkuu?
 
Lema anaingiaje katika hili? We kweli ni mvivu wa kufikiri. Yaani watu wakisema ukweli ni lazima uuhusishe ukweli huo na kesi ya Lema. Kweli elimu ni ya muhimu sana!
Dogo Mimi ni mwalimu wako,elimu yangu ni kubwa kuliko mtu yeyote kwenye familia yenu,huwezi kunielewa kwa elimu yako ya shule ya kata
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
Hilo sio Priority kwao
Wako Busy na yule jamaa aliyepewa Maono ndotoni
 
Mafisadi wanatakiwa kunyea debe wanatumalizia tembo wetu. Lakini hata hiyo dhamana kwa wote wawili ni kama Bilioni 6.siyo mchezo,
 
mla rambirambi ni muonevu and he must be a one term president Na adisapia. Hao akina shose na sumari mbona anawaonea?
 
Hao watuhumiwa walikamatwa wapi na lini? Hao watu wapo wangapi ? Majina yao ?

Ila ndio Nchi yetu watoto sijui wa Mbunge gani Mbarali anakamatwa na nyara za serikali anaambiwa alipe fine na kesi haijachukua hata siku tatu

Wakina Lema na ndoto zao wananyimwa mdhamana

Huko Moshi Kijana amehukumiwa miaka sijui 30 kwa kukutwa na mirungi

Bana eeh kama vipi waachiwe hao majangali na wauza unga tuendelee kuangamiza Tanzania maana ndio kazi tunayoweza

Kina Hary Kitilya wapo ndani kwa sababu tu ni team Lowasa
Yana mwisho haya na uzuri mwisho wake hauwezi kuwa mzuri
Panda chuki utavuna mauti
 
Wewe Manyerere unataka tusimame vipi sisi wazalendo?
Siku zote wewe umekuwa mwandishi unayependa kujipendekeza kwa watawala, ndo maana siku ile ikulu ulimuuliza rais swali la kinafiki, badala ya kuuliza maswali yenye logic.
sasa rais ameshasaini muswada wa kidikteta wa habari, sijui utaandikaje habari za tembo, utaandikaje habari za ufisadi?
Nyie waandishi ni wajinga mno ,sasa magazeti yenu yanaenda kufa, sijui mtafanyaje. yatabaki ya udaku na michezo basi.
Mafisadi yote na majambazi yapo ccm ndo maana yakapitisha ile sheria ili iyalinde, na nyie siku ile mlikuwa mnakenua tu.
 
Back
Top Bottom