Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Lema alie ota ndoto ananyimwa dhamana kwa maelekezo toka mbinguni,lakini hawa wanaomaliza rasilimali zetu wanapewa dhamana?.

Kweli mktaa pema pabaya panamwita(watu walikataa mabadiliko sasa wanaitwa na fisiemu).
Hebu wacha ujinga ndoto ni ndoto tu. Mbona hajaota kunyimwa dhamana
 
Kifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.

Manyerere kuhubiri na kutenda ni mambo mawili tofauti, ila ingekuwa ni wapinzani hapo ndio ingejua nguvu ya huyo umayetaka tuungane naye.
 
Manyerere huna lolote, ulikosa kuuliza maswali yenye mashiko mpaka Raisi akakudharau.
 
Tuungane, tushikamane kulaani haya mambo ya kuachiwa majangili. Wamekutwa na SMG 17 halafu wanaachiwa hivi hivi!! Noooo!
Kulaani tu mkuu si ishu,kwani yule mtoto wa mbuge alokutwa na meno ya tembo na nyama za wanyama mbali mbali na kuhukumiwa kulipa faini tu ndani ya wiki moja nyie kama waandishi wa habari mmefanya nini?
Hata baba yake akakutwa na mabunduki ya kutosha mmechukua hatua gani kama waandishi wa habari juu ya hayo kulaani? Mi navyoona ni kuacha tu haya mambo yaendelee na kwa sheria hii ya vyombo vya habari nchi hii tunarudi nyuma yaani gizani back to 1980's hutosikia lolote hata hizo habari zako za uchunguzi kuhusu bandari wakiamua kukidhibiti saizi wanakunyoosha vizuri tu,ngoja tuone!!

Hapa nachoona ni kuungana na kwenda kufungua kesi ya kikatiba kwanza juu ya hao majangili kupewa dhamana pili juu ya hiyo sheria kandamizi ya vyombo vya habari lakini hii kulaani tu wala haisaidii......leo asubuhi nimecheka kweli RFA walikuwa wanaijadili hii sheria kuna mtangazaji mmoja huwa ni mnaazi sana wa ccm na huponda sana upinzani hasa kuhusu maandamo leo kwa sababu sheria ile imemgusa moja kwa moja eti anakalia tu kusema tusubili 2020 ha ha ha ha ha ha anaitwa sijui Azalia akili zishaanza kumrudia ngoja tuone!!
 
Priority ya awamu hii ni kupambana na wanaotetea utawala wa sheria na si kujenga viwanda kama ilani yao inavotaka.
 
Hii hadithi ya nyani

Hii hadithi ya nyani naona ni nzuri dokeza kidogo mkuu
hahahaa, alivyoolewa akawa anawaruhusu wenzake kula mahindi. Baadaye akaona wanakula kwa fujo akamwambia bwana wake waweke wallinzi na akawaambia wenzake mahindi ya bure hakuna tena. Wale nyani wakakaa kikao na kusema ''sisi ndiyo tumemuweka hapo leo anatugeuka!, tumrudishie mkia wake''. basi wakatoka wakiimba, tumpelekee kia lake, atakama anakula? tumpelekee kia lake, atakama anaoga?........... walivyokuwa wanaimba yule nyani aliyeolewa akawa anaota manyonya, kucha ndefu na mwisho akaota mkia na kukimbilia porini. Jamaa atakuwa anaogopa kurudishiwa mkia.
 
Manyerere Jackton wewe ni mwandishi tena mkongwe ila unatoa habari kama watoto wa FB, hakuna majina ya watuhumiwa, siku waliyoachiwa au kuonekana mtaani, wameachiwa na mahakama ipi na wametoa sababu gani, kwa habari inayoletwa na mwandishi tunategemea ishibe vingenevyo watu wanaweza kutoa mapovu hapa kwa habari za vijiweni.
 
Katika hili sina Uzalendo wowote.
Hao jamaa waachiwe kabisa huru, sijaona kosa lao mpaka sasa, tunataka wakamatwe wahusika halisi wa Biashara hiyo na kushtakiwa.

Mimi bila Kinana kufikishwa mahakamani, sitavaa huo uzalendo kabisa.
Kweli bado vita dhidi ya ufisadi na ya uhujumu uchumi msumeno unakata upande mmoja kwa sehemu kubwa. Haki haitendeki kabisa kuleta uwiano wa hukumu kwa walioiharibu nchi hii. Mimi bila katiba kubadilishwa na haki kutendeka nitaendelea kutokuiamini serikali yangu daima.
 
Katika hili sina Uzalendo wowote.
Hao jamaa waachiwe kabisa huru, sijaona kosa lao mpaka sasa, tunataka wakamatwe wahusika halisi wa Biashara hiyo na kushtakiwa.

Mimi bila Kinana kufikishwa mahakamani, sitavaa huo uzalendo kabisa.
UNA USHAHIDI NA UHUSIKA WA KINANA? WATU WAMEKIRI KWA SAUTI KUBWA KUPOKEA RUSHWA LAKINI WANAKULA RUSHWA ZAO MITAANI. MBAYA ZAIDI YOHANA KASEMA HATAFUFUA MAKABURI.
 
Hii nchi aliyeiroga kafa....kama angekuwa hai angetuonea huruma na kutufungua kutoka minyororo ya kifungo cha shetwani.
 
UNA USHAHIDI NA UHUSIKA WA KINANA? WATU WAMEKIRI KWA SAUTI KUBWA KUPOKEA RUSHWA LAKINI WANAKULA RUSHWA ZAO MITAANI. MBAYA ZAIDI YOHANA KASEMA HATAFUFUA MAKABURI.
Kinana anahujumu uchumi kwa kuuza pembe za ndovu China. Nashangaa kwanini hadi leo yupo mtaani akila bata!!!!!
 
Hii ndio serikali ccm, msitegemee lolote kwa hiki chama milele! wanaofanya hii biashara ni hao hao ccm.
 
Back
Top Bottom