Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

"hata akishuka malaika kutoka mbinguni na akawa ccm, baada ya muda wakija kumchukua tyr atakuwa amegeuka kuwa shetani' By Mh. F. Mbowe.
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
BADO DHAMANA YA LEMA.. KIGUGUMIZYEE
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
Kuna wajinga humu kila siku wanakukuruka kama Kuku aliechinjwa kwa kumtukuza bwana yule
 
Msipende Kushangaa Kila Jambo Hata Mleta Mada
UnaweZa Kuwa Mchochezi Kwenye Hili
Unashangaa Kupata Dhamana Wakati Kesi Ya Mtoto Wa Mbunge Wa Mbalali Kule MBEYA

Kesi Imekuwa Nzuri Na Vidhibiti Vipo Ajabu Hukumu Yake Mlisikia Aliambiwa Chagua Hukumu Yako
Kifungo Cha Miaka 20 Ama Kulipa Thamani Ya Ndovu
Millions 138
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
Bwana Manyerere
Hivi hiyo habari uliyotoa haina kina chochote kile cha maelezo tutachangiaje????????
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.

Pole hizo zinadhamana na wala Jeshi letu hawana shida nazo,labda kama kuna mpinzani,kama hakuan basi ujue zinadhamana,zisizona dhamana ni za wapinzani kama akina Lema na Lissu.Ndipo taifa lilipofika.
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
Uzalendo kwanza mlipaswa kuuonyesha ninyi wanahabari kwa kusimama kidete kupinga sheria iliyosainiwa jana, ambayo inawanyima fursa pana ya kushughulika na mambo haya kupitia taaluma yenu. Hatukuona uzalendo miongoni mwenu. Pili, hamkuonyesha uzalendo kwa nchi pale mlipopata nafasi ya kukutana na Rais. Badala ya kuuliza maswali ambayo yangesaidia kuijenga nchi, mkawa na maswali yasiyo na kichwa wala miguu, na kujipigania wenyewe kwa kuangalia maslahi yenu binafsi.

Jambo ulilotuletea hapa ni mwendelezo tu wa kila mtu kupigania maslahi yake binafsi, kama nyie mlivyotumia nafasi ya kukutana na Rais mkapigania maslahi binafsi, badala ya kuweka uzalendo mbele kwa taifa lenu, watuhumiwa wa uhujumu uchumi na mauaji ya tembo 85 nao wanapigania maslahi yao binafsi. BTW, sijaelewa mantiki ya kutuhamasisha kusimama imara (kupinga dhamana?) bila kutuletea mtiririko wa hoja za kisheria zilizofikia uamuzi huo iwapo ni kweli kesi hiyo (sio za aina hiyo) haina dhamana!
 
hivi wale masheikh wa Zanzibar wameachiwa? au bado haijatoka amri kutoka juu,maana baadhi ya dhamana inategemea amri kutoka juu
 
Kama hii tetesi haijathibitishwa hadi sasa Mods iondoeni hapa maana inalenga kuwagombanisha wananchi na mhimili wa mahakama.
 
Tuache mzaha, nchi unaumizwa sana. Ujangili unamaliza rasilimali hii adhimu.
Wenye dhamana ya kulinda hizi raslimali wanahangaika na mfumo wao maana wakikamata mizigo wakiwauliza wakamatwaji wanasema sio yao ya kigogo mkubwa serikalini au kwenye chama hamna namna wataishia kuwaachia tu.Chama hiki ni shida ata aje nani nae wakimfukua makaburi yake daaa!!!makandokando kibaoo.Siku Mpemba anakamatwa nasikia kuna sauti ililia toka nyikani ikisema mwacheni huyoo hadi mkuu wa wanyama pori akaogopa watu wa usalama wakamsemelea mbinguni.
 
Back
Top Bottom