Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

Magufuli njoo huku
Aje kufanyaje? Nakumbuka siku ile alisema kwenye vyombo vya habari kwa mbwembwe kweli " Mpemba tunaye mikononi" tena akamuuliza na katibu mkuu " unawaogopa" Katibu mkuu akijibu siwaogopi Mkuu. Ha ha leo ndio hivyo wapo nje kwa kesi ya uhujumu uchumi.
Labda tumuombe tena aje mbele ya vyombo vya habari atueleze Mpemba yuko wapi?
 
Msipende Kushangaa Kila Jambo Hata Mleta Mada
UnaweZa Kuwa Mchochezi Kwenye Hili
Unashangaa Kupata Dhamana Wakati Kesi Ya Mtoto Wa Mbunge Wa Mbalali Kule MBEYA

Kesi Imekuwa Nzuri Na Vidhibiti Vipo Ajabu Hukumu Yake Mlisikia Aliambiwa Chagua Hukumu Yako
Kifungo Cha Miaka 20 Ama Kulipa Thamani Ya Ndovu
Millions 138
Kesi imeishatolewa hukumu au ni dhamana ndio imetolewa? Hebu tupe ufafanuzi hapa mkuu
 
Kama hii tetesi haijathibitishwa hadi sasa Mods iondoeni hapa maana inalenga kuwagombanisha wananchi na mhimili wa mahakama.
Tetesi haipaswi kuondolewa. Kila atakayesoma hapa ataelewa kwamba hii ni tetesi. Kufuta tetesi ni kutunyima haki ya kujuwa tetesi.
 
Nani alikwambia nchi yetu inaangamizwa na majangili?
Huwezi kuwakamata Vibarua wa porini wenye njaa na wasio jitambua, halafu unakuja kutuambia hao ndio majangili wanaomaliza tembo wetu.
Nchi inamalizwa na makada wa CCM.

Embu fikiria, katika taifa lenye jeshi la Polisi, JKT, Jwzt, Kikosi cha wanyama pori, Mgambo, Polisi Jamii, TISS halafu........
Jangili gani huyo anayeweza Kukamata mamia ya wanyama mbali mbali kutoka Mbuga kuu, akasindikizwa na Msafara wa Kijeshi mpaka KIA, akaleta ndege kadhaa za Kijeshi kutoka Qatari, akawakunja Twiga na kuwaingia ndani ya ndege na kisha kuondoka.

Tuko busy na Lema na kuhakikisha upinzani unafutika Tanzania
 
Lema alie ota ndoto ananyimwa dhamana kwa maelekezo toka mbinguni,lakini hawa wanaomaliza rasilimali zetu wanapewa dhamana?.

Kweli mktaa pema pabaya panamwita(watu walikataa mabadiliko sasa wanaitwa na fisiemu).
Mbona kuna wengi tu walisema lowassa atakufa na hawajakamatwa hadi leo ziadi ya kuishia kupukutika karibu wanaisha
 
Hakunaga dhamana kwenye kesi zinazohusu ndoto na maono hasa ya wapinzani.

Ila dhamana ipo kwa wabakaji (wale polisi wa Mbeya) na wahujumu uchumi (Meno ya Tembo).Wale waliokutwa na nyala za serikali mtoto wa mbunge alitolewa kwa fine ya kunua peremende, na yule mbunge aliyekutwa na silaha zinazotumika kuulia Tembo hadi leo hajaguswa.Kazi ipo.

Ila akina Lema wanatafutiwa sheria za mwaka 1928 za kuwekwa kizuizini au jela bila kusikiliza kesi.
 
Masharti ya dhamana yalikuwa magumu. Yaliwekewa kiwango cha cash au mali inayolingana ktk mabilioni. Kuyatimiza ni ushahidi tosha wa uhujumi uchumi. Kilichotarajiwa kama wangeyatimiza ilikuwa ni kutoa hukumu, si dhamana.
 
Bandiko lako halina details za kutosha mkuu.Taarifa hii ni ya muhimu mno kwa kuwa wananchi wanayo hamu sana ya kujua kinachoendelea kuhusu wahujumu uchumi.Tuambie kwa mfano majina ya hao wahujumu,wako wangapi wa meno ya Tembo na uhujumu mwingine,wamefikishwa mahakamani gani,judge ni nani nk.Tunakuomba mkuu ufanye hivyo,weka nyama zaidi mkuu.
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.

Kwani wewe rais wako ni nani?
Tz tunao rais wengi,

yupo yule rais mla rambirambi za watu,

rais wa simba sports club mr aveva,(huyu ndiye rais wangu)

rais wa wasafi classic mr diamond

rais wa daruso

rais wa tff mr malinzi n.k

ww unasemea rais yupi sasa??
 
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.

Wazalendo tusimame imara.
Hawana mahali pa kuwafunga ....labda Lema ndo anapakufungwa kisa ndoto
 
Tz tunao rais wengi,

yupo yule rais mla rambirambi za watu,

rais wa simba sports club mr aveva,(huyu ndiye rais wangu)

rais wa wasafi classic mr diamond

rais wa daruso

rais wa tff mr malinzi n.k

ww unasemea rais yupi sasa??

Hahahaaaa asante umeniwekea maelezo mazuri kwa swali langu hapo juu kwa Manyerere.
 
NANII ANAPIGWA TOBO NA MAKANZU KWA SANA...

OVA
 
Ila dhamana ipo kwa wabakaji (wale polisi wa Mbeya) na wahujumu uchumi (Meno ya Tembo).Wale waliokutwa na nyala za serikali mtoto wa mbunge alitolewa kwa fine ya kunua peremende, na yule mbunge aliyekutwa na silaha zinazotumika kuulia Tembo hadi leo hajaguswa.Kazi ipo.

Ila akina Lema wanatafutiwa sheria za mwaka 1928 za kuwekwa kizuizini au jela bila kusikiliza kesi.
Unasikia mtu anasema naomba niombee huu unafiki kabisa
 
Back
Top Bottom